Mbilimbili
Senior Member
- Mar 17, 2012
- 172
- 19
Unaoa mwanamke au kazi ya mtu?
Kwa hiyo hao wote una uhakika wa kuwapata au?
Habari za hapa ndani wadau, katika kuchagua mchumba je ni yupi kati ya wanaofanya kazi hizi ukioa hakutakuwa na shida?
1:Bar maid
2:Mwalimu
3:Msusi
4:Secretary
5:Fundi wa kushona
NB: NAMBA TATU NDIO TUKO KWENYE MAHUSIANO KWA SASA.
Oa ule moyo inapenda zaidi, ukimwona tu unapata mlipuko wa aina yake....
Mwanamke yyte yule kat yao atakae tambua nafasi yake kwako na yako kwake.
Oa barmaid, Kikubwa zaidi ni watamu sana.
asante swts.
Siangalii utamu Mr, ila heshima ya ndoa.