lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
wakuu bongo kuna majembe ma 4 tu katika bongo fleva nayo ni K4REAL, JUMA NATURE,JIDE KOMANDOO NA SUGU,haya majembe ni nouma hatari yanajulikana usipimie yaani jamaa ukamua mbaya mbovu jukwaani. je kwa sasa kuna mwanamziki yoyote anaweza kupanda jukwaa moja na hawa wanajeshi wa ukweli?