Ni mwanamziki gani ana uwezo wa kusimama jukwaa moja na haya majembe?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
wakuu bongo kuna majembe ma 4 tu katika bongo fleva nayo ni K4REAL, JUMA NATURE,JIDE KOMANDOO NA SUGU,haya majembe ni nouma hatari yanajulikana usipimie yaani jamaa ukamua mbaya mbovu jukwaani. je kwa sasa kuna mwanamziki yoyote anaweza kupanda jukwaa moja na hawa wanajeshi wa ukweli?
 


Juma Mohamed Mchopanga
 
Teh Teh mkuu umerudi kutoka honey moon?
BADILI TABIA alikuletea zawadi yangu?
 
Last edited by a moderator:
Juma nature ni noumaaa.
Yaani leo e fm wanapiga nyimbo z nature bandika bandua....
 

Mkuu tatizo lako naona bado linakusumbuaa nakushauri muone dokta mapema
 
Kwa mara ya kwanza nakupa hongera kwa kuweza kuweka wasanii wa kiwango kinachofanana, ole wako ungemjumuisha msanii ambaye ni dili kwa vyombo vya habari ni dili kwa watu wa matangazo ni dili kwa waandaaji wa matamasha lakini pia ni njia ya mkato kwa msanii andagraundi kutumia jina lake ili atoke
 

asante sana mkuu
 

Hahah umeua mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…