Ni mwandishi gani wa Maisha, Mahusiano na Fasheni anayekuvutia

mmh.. bado tuna kazi si kidogo.. ila kuna majina hapa nimeyapenda kwa kweli..
 
Flora Wingia. Nadhani alikuwa anaandika kwenye gazeti la Mzalendo kama sijakosea. Napenda sana makala zake za mahusiano.
 
MM, kuna Dada mmoja anaitwa Flora wingia(kama sijakosea jina) anaandika Nipashe? ni mtu serious sana.
 
thanx! Nawakubali sana wanajf wote kwa michango yao. Ila LIZZY, ASHADII na MZEE MWANAKIJIJI hawa ni EXCEPTIONAL.

Asante Gagu...
Ukishachungulia niambie what you think...
 
Mi pia ni mwandishi mzuri, nimeandika kazi nyingi sana ila kwa lugha ya kinyumbani, Horse-language. Ngoja nitafute mkalimani nitakupostia hapa ...
 

KIPENGELE F: Mkuu kuna kazi unataka upige kolabo nao nin?
 
KIPENGELE F: Mkuu kuna kazi unataka upige kolabo nao nin?

yeah kwa kweli; nataka niwape nafasi maana wengi ninaowafahamu ni Wakenya na Waganda kwa nyumbani wako very limited. Sasa labda uzalendo wa Afrika ya mashariki utanifanya niwapelekee hao wengine lakini ningependa kuona tunawapa nafasi dada zetu na wenyewe to shine! siyo kwa kupita kwenye catwalks na kugeuka geuka lakini kuonesha kuwa behind the beauty there is brain!
 

Cheki na Lizzy. Nimeangalia blogu yake; she seems to have some talent ambayo ikiwa nurtured anaweza kuwa one of the best. And of course she is very beautiful
 

Nafasi yenyewe iko moja au zaidi ya moja???
Cheki na Lizzy. Nimeangalia blogu yake; she seems to have some talent ambayo ikiwa nurtured anaweza kuwa one of the best. And of course she is very beautiful

Heheheh...thanks for the props Nyandaigobeko!!
 
Reactions: Nzi
Kwangu mimi naamini hakuna kama freddy macha....huyu kanifundisha kuhusu afya yangu ,kanichekesha na story zake za kina masudi lakini kanielimisha kuhusu maisha kwa ujumla......zaamani pia nilimpenda mdogo wake ndesanjo macha hasa katika siasa akiiandikia rai mara moja moja nadhani pia ndesanjo ni mtanzania wa mwanzo san kuwa na blog...zamaaani sana..nawakubali sana hawa jamaa
 

Yeah jamaa nimekumkubali. Hata Lizzy naye wamo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…