Ambiele Kiviele JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 15,267 Reaction score 29,917 Dec 15, 2016 #1 *Kama una kalenda ya 1995 au 2007, usinunue ya 2017 kwa sababu zinafanana.. Ila badilisha mwaka kwa maker pen* *Ni mwendo wa kubana matumizi kutii sera ya serikali ya awamu ya 5.* *_Hapa Kazi TU_* [emoji123]
*Kama una kalenda ya 1995 au 2007, usinunue ya 2017 kwa sababu zinafanana.. Ila badilisha mwaka kwa maker pen* *Ni mwendo wa kubana matumizi kutii sera ya serikali ya awamu ya 5.* *_Hapa Kazi TU_* [emoji123]
S Socw JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 1,329 Reaction score 2,644 Dec 15, 2016 #2 na kama una t shirt la ccm la mwaka 2010 endelea tu kuvaa. maana hakuna namna