Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
mjombq n mama
Kabisa bwashee😁mjombq n mama
🤣🤣🤣
Hahaha,
Skanka ndio nini kanyamwi😁🤣🤣🤣
Skanka mbaya🤣🤣💔
Swahiba yangu Lucas Mwashambwa akiandaa uzi wa kutoa watu machozi😃😃
Sjui m mesema tu🤣🤣Skanka ndio nini kanyamwi😁
😁😁😁 umepiga mule mule bwashee.Swahiba yangu Lucas Mwashambwa akiandaa uzi wa kutoa watu machozi😃😃
mjubaaaaaa kama mjubaaaa ndio dawa yao, sema miwanaume mingine bado ina ujinga mwingi
Noma sana huyo mwamba...
hapo kulipa ni kuolewaHahaha,
Mwamba ana majibu balaa, ila ndiyo ukweli.
Ila hata akimkopesha mbele ya mashahidi na ndugu inasaidia nini, atalipaje? Maana anaweza kuhitimu akakuta hakuna kazi, hakuna kipato.
Nakushauri kabla hamjaendelea mbele, mje niwafungishe Ndoa ya Mkeka.🙄inakuaje babu ,mbona nishaanza lipia ada ya ephen_