Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Nini tena😆😄😃Ohoooooo!!!!
Tena😃😄Cha Bwana yule kutoka kwa wale watu wabishi
ZittoKwenye maelezo yake ya Leo, Humphrey Polepole amesema kuwa Kuna watu walikuwa wanabadilishana taarifa kwa mfumo wa mafumbo (CODES) na mmojawapo akasema ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM B.
Wajuzi wa codes hebu fungueni tumjue huyo ambaye Polepole alimkusudia!
Aisee!!
KOMWE mambo vipi?
Membe labdaKwenye maelezo yake ya Leo, Humphrey Polepole amesema kuwa Kuna watu walikuwa wanabadilishana taarifa kwa mfumo wa mafumbo (CODES) na mmojawapo akasema ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM B.
Wajuzi wa codes hebu fungueni tumjue huyo ambaye Polepole alimkusudia!
Atakuwa MBOWE 😆Kwenye maelezo yake ya Leo, Humphrey Polepole amesema kuwa Kuna watu walikuwa wanabadilishana taarifa kwa mfumo wa mafumbo (CODES) na mmojawapo akasema ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM B.
Wajuzi wa codes hebu fungueni tumjue huyo ambaye Polepole alimkusudia!
Membe hakua kiongozi, hata hivyo membe sio mstaafu ni marehemu. Membe amemtaja bila kusita anapohusika. Hivyo sio membe, ni dalaliMembe labda