Ni mwezi gani mzuri wa kuanza ujenzi?

Ni mwezi gani mzuri wa kuanza ujenzi?

kikoozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
2,094
Reaction score
3,108
Habarini za muda, kwa wajuzi wa kujenga ni kipindi au muda mwezi gani hali ya hewa ni nzuri kufanya ujenzi (January, February, March, April, may, June, July, August, September, October, November, December)

Karibuni kwa mtazamo wenu.

Location ni Dar es Salaam
 
Location ni; dar es salaam
Kwanza uko mkoa gani ili tukushauri vizuri, hali ya hewa ya Kongwa ni tofauti sana na Tukuyu.
 
Sio kweli
Masika..mchanga na kokoto huwa bei juu
Subiri mvua ziishe
Nataka kujua ni miezi gani ambayo mvua uwa angalau utulia, maana nilitaka nianze na kuweka kwanza msingi
 
Habarini za muda, kwa wajuzi wa kujenga ni kipindi au muda mwezi gani hali ya hewa ni nzuri kufanya ujenzi (January, February, March, April, may, June, July, August, September, October, November, December)

Karibuni kwa mtazamo wenu.

Location ni Dar es Salaam
Je mwezi wapili naweza kuanza ujenzi ????????? ofu yangu ni mvua
 
Back
Top Bottom