MasikaUshauri
Hichohicho nasikiaga gharama zinakuwaga nafuu sana tofauti na miezi mingine.Mmh sio ndio kipindi cha mvua icho mkuu?
Kwanza uko mkoa gani ili tukushauri vizuri, hali ya hewa ya Kongwa ni tofauti sana na Tukuyu.Habarini za muda, kwa wajuzi wa kujenga ni kipindi au muda mwezi gani hali ya hewa ni nzuri kufanya ujenzi (January, February, March, April, may, June, July, August, September, October, November, December)
Karibuni kwa mtazamo wenu.
Location ni; dar es salaam
Uwe unasoma kabla ya kucomment. Umequote na unaona kabisa mwisho ameandika location Dar es Salaam, acha kukurupuka.Kwanza uko mkoa gani ili tukushauri vizuri,hali ya hewa ya Kongwa ni tofauti sana na Tukuyu.
Hichohicho nasikiaga gharama zinakuwaga nafuu sana tofauti na miezi mingine.
Wajuzi watakupa taarifa zaidi.
Mvua ikiisha.. kuanzia may mwishoninataka kujua ni miezi gani ambayo mvua uwa angalau utulia, maana nilitaka nianze na kuweka kwanza msingi
Je mwezi wapili naweza kuanza ujenzi ????????? ofu yangu ni mvuaHabarini za muda, kwa wajuzi wa kujenga ni kipindi au muda mwezi gani hali ya hewa ni nzuri kufanya ujenzi (January, February, March, April, may, June, July, August, September, October, November, December)
Karibuni kwa mtazamo wenu.
Location ni Dar es Salaam