Ni mwiko kukata tamaa

Ni mwiko kukata tamaa

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
893
Reaction score
1,021
USIKATE TAMAA

Hakuna kitu kibaya kwa maisha ya mwanadamu kama kukata tamaa.

Mtu aliyekata tamaa humtengenezea shetani kuwa makao yake.

Haijalishi ni kipi umepitia usikate tamaaa.

Ni dhambi yoyote umefanya usikate tamaa hakika Mungu husamehe dhambi zote

Amka sasa tuanze upya bila kukata tamaa

وَلَا تَيْأَسُوا مِن رَّوْحِ اللَّهِ ۖ إِنَّهُ لَا يَيْأَسُ مِن رَّوْحِ اللَّهِ إِلَّا الْقَوْمُ الْكَافِرُونَ

“Wala msikate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Hakika hawakati tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu isipokuwa watu makafiri.”

يَا عِبَادِيَ الَّذِينَ أَسْرَفُوا عَلَىٰ أَنفُسِهِمْ لَا تَقْنَطُوا مِن رَّحْمَةِ اللَّهِ ۚ إِنَّ اللَّهَ يَغْفِرُ الذُّنُوبَ جَمِيعًا ۚ إِنَّهُ هُوَ الْغَفُورُ الرَّحِيمُ

“Enyi waja wangu mliojidhulumu nafsi zenu, msikate tamaa na rehema za Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu husamehe dhambi zote. Hakika Yeye ni Mwingi wa kusamehe, Mwenye kurehemu.”

✍️Abuuabdillah
0744883353
 
Back
Top Bottom