Kwa kutumia common sense hakuna machine mpya ina gen za zamani mfano gen 1 hadi 9 ngumu kukuta mpya. Laptop haiwezi kukaa dukani miaka 10 ama 8.
Sababu pc ni pana na zinabafilishika vitu ngumu kutumka njia moja kujua yote, ila nitakupa mifano.
1. Kujua Uhai wa Hdd/ssd
Zipo program kama Crystaldiskinfo ambazo zinakuonesha hio Hdd ama ssd unayotumia imetumika mara ngapi na imekua on masaa mangapi, ukinunua mpya na inaonesha imetumika masaa elfu kadhaa unajua umepigwa, weakness ya hii njia ni kwamba mtu anaweza uza laptop refurbished ila akakuwekea ssd mpya.
2. Kuangalia Afya ya battery.
Battery mpya siku zote inakuwa na Afya asilimia 100, ukiangalia afya ya battery ipo 80 ama 70 ujue hapo ushapigwa na kitu kizito. Weakness ya hii njia battery zinabadilishika
Pitia hapa kupata command za kuangalia afya ya battery
Whether you're still running Windows 10 or upgraded to Windows 11, a Windows battery report will help you keep tabs on the health of your laptop's battery.
www.pcmag.com
3. Common sense nyengine kagua kwa macho
Vitu kama keyboard ya laptop iliotumika inakua na alama za vidole, Usb zinakuwa loose, Earphone ama port nyengine kuwa na vumbi na uchafu etc.