Ni namna gani naweza kumripoti dereva aliyeniletea dharau kisa mimi ni mtembea kwa miguu? Amenikosakosa leo maeneo ya Mwenge mpakani

Hauna jinsi wakati wa Magufuli ulikuwa na haki angalau kwa Lissi fulani na Polisi wangekupigania angalau ungekuwa na pa kwenda, sasa hivi Rais mwenyewe anawakataza Polisi wa barabarani kufanya kazi yao, anataka wanyenyekee wenye magari kama hao waliokugonga na kuendelea na safari!
 
Vizia akiwa amepaki, piga kisu matairi yote manne na uvunje kioo cha mbele chote. Mwachie ujumbe aache kudharau watembea kwa miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…