Habari wakuu,
Wakuu mi nahitaji nigandishe mtindi kwa njia zakawaida kabisa nyumbani kwani sina uwezo wakuwa na kiwanda.
Kama kichwa cha habari kinavyo someka ninaomba kufahamu kwa wajuzi wa hili ni hatua zipi napaswa kufuata au nifanye nini ili niweze kuchanganya vihifadhi kwenye mtindi ili uweze kukaa muda merefu bila yakuharibika?
Lengo ni kuweka kwenye vifungashio na kuuza