Ni namna gani ninaweza kufanya kutomuona kabisa mtu kwenye akaunti yake ya Insta

Ni namna gani ninaweza kufanya kutomuona kabisa mtu kwenye akaunti yake ya Insta

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Niliwahi kum unfollow Dr mmoja anayewasema sana wanaume, ila kila nikifungua simu naona ukurasa wake eti suggested for you!

Kwa mwanaume yeyote ukitaka kuishi kwa kuongezewa msongo,mfuate huyu msomi anajiita Dr makiu.Hana maana zaidi ya kutengeneza msongo tu kisha anatangaza kiingilio jinsi ya kuondoa msongo huo.
 
kama mimi kuna mdada mmoja yupo insta anaitwa johayna, yaani naona kero.

yaani kila nikifungua insta habari yake lazima iwe front page, mpaka ikabid nimuulize kwa nini iwe vile ila hakunijibu.

sijui kaset kitu gani mpaka imekua vile.
 
Back
Top Bottom