Ni namna gani ya kuhamisha namba za simu toka line moja kwenda nyingine?

Ni namna gani ya kuhamisha namba za simu toka line moja kwenda nyingine?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Naomba anayejua namna ya kuhamisha namba za simu toka line moja kwenda nyingine anisaidie how to do it on my phone
 
Copy ziingie kwenye simu (Phone) kisha weka laini iyo ya pili, then copy tena zitoke kwenye simu ziingine kwenye laini.
 
Fungua App ya Contacts, Kisha bonyeza Fix & manage kisha bonyeza Import from SIM hafu utaselect contacts unazotaka kuzicopy kutoka kwenye laini ziingie kwenye Phone.
 
1-3.jpg
unataka kukwepa Tozo ee
 
Fungua App ya Contacts, Kisha bonyeza Fix & manage kisha bonyeza Import from SIM hafu utaselect contacts unazotaka kuzicopy kutoka kwenye laini ziingie kwenye Phone.
asante sana, let me try
 
Back
Top Bottom