incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
Wakuu nataman sana kufuga rasta fulani ivi zisiwe ndefu sana ziwe fupi kiasi afu nywele zisiwe nyekundu zionekane nyeusi na rasta zakusimama
Ninanywele ngumu sana za kisinga singa afu huwa zikirefuka kidg huanza kuwa nyekundu msaada tafadhari ni dawa aina gani inayoviriga nywele au ni namna gan wanaviriga nywele?