Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
hiyo avatar hapana....bado mapema
Haaa! Kumbe Manure ni timu kubwa...basi sawa!Huyu jamaa hana uwezo wa kucheza timu kubwa! Hajui kukontroo mpira, ana touch mbovu, ni mzito sana na mwisho huwa haonekani kwenye mechi kubwa, kwa kifupi ni mzigo na hafai kuwepo kwenye timu kubwa kama Man Utd!
Povu ruksa...
Huyu jamaa hana uwezo wa kucheza timu kubwa! Hajui kukontroo mpira, ana touch mbovu, ni mzito sana na mwisho huwa haonekani kwenye mechi kubwa, kwa kifupi ni mzigo na hafai kuwepo kwenye timu kubwa kama Man Utd!
Povu ruksa...
[emoji23][emoji23][emoji23]hiyo avatar hapana....
Mimi nitabaki na huyu mpumbavu Mkhitaryan....sijui anafanya nini hapa kwenye hii timu.
Lukaku ametuchomesha maindiHuyu jamaa hana uwezo wa kucheza timu kubwa! Hajui kukontroo mpira, ana touch mbovu, ni mzito sana na mwisho huwa haonekani kwenye mechi kubwa, kwa kifupi ni mzigo na hafai kuwepo kwenye timu kubwa kama Man Utd!
Povu ruksa...