Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #21
Hamna straika pale, Lukaku hana tofauti na Mavugo.Mbona alipofunga hamkusema hayo, subirini kuporomoka.
Ameflop baada ya mechi tatu za mwanzo tu!Mimi nitabaki na huyu mpumbavu Mkhitaryan....sijui anafanya nini hapa kwenye hii timu.
Biashara asubuhi jioni mahesabubado mapema
Siku nyingine andika tu kwa lugha yetu pendwa ya Kiswahili kwani hutapungukiwa na chochote!Lukaku is only best striker there can not work alone bicause the rest are rubish.
HAPANAWewe ni man u?
kwa yale maboko mawili aliyoyatoa au sio?At least fellaini alileta matumaini kwenye game ya leo.
Wewe usiwe kama Msukule, Man Utd ana makombe 20 ya EPL kuliko timu nyingine, ana mataji matatu ya UCL halafu unaulizaje kama ni timu kubwa?Haaa! Kumbe Manure ni timu kubwa...basi sawa!
Man Utd wamelamba garasa la decadeLukaku ametuchomesha maindi
Duh! mimi mwenyewe hii english imeniletea kizunguzunguSiku nyingine andika tu kwa lugha yetu pendwa ya Kiswahili kwani hutapungukiwa na chochote!
[emoji38] [emoji38]Manyumbu fc nawatakia usiku mwema kwa hisani ya galasha lenu Lutako
Absolutely!Sasa lukaku ana kosa gani wakati team inacheza 9-1 wazee wa kupaki bus
For Me Abemayaung Wa Dortmond Ndo Alitufaa Pale United