Ni nani alimshauri Mourinho kumnunua Lukaku Man Utd?

Lukaku ni striker mzuri tu tatizo ni man U kwenye game kubwa zote wanacheza on the back foot, hawa-dominate michezo.Timu inapack basi muda wote, striker anakua kati kati ya uwanja zaidi ya 70% ya game halafu unataka magoli?
hii ni weakness ya Jose Mourinho ingawa yeye anaiita strength yake; anajenga timu kuanzia beki. timu zote alizoenda style ni ile ile - Angalia Chelsea ya kina Drogba; angalia Inter ya kina Lucio; Angalia alivyokwenda Madrid; na sasa Mau U.

Natabiria amebakiza misimu miwili tu kabla wenye Man yao hawajamtupia virago; hakuna mtu anataka kuangalia mpira wa namna ile kwenye karne hii ya 21. Watu 11 wanazuia mpira usipite golini.

Cheki lile goko alilolitoa Lukaku wakati anaokoa, Yeye ni Striker sasa badala ya kuokoa mpira uende juu yeye anawababua stickers wa City - ndiyo msiba huo.

Angalia ushindi dhidi ya Arsenal; Man walicheza mpira wa miaka ya 70; huchezi unavizia vizia ili ufanye counter attack - mpira ya ki-longi sana hiyo.

Navyoona, hakuna shabiki wa Man U anayependeyazwa na style ya uchezaji wa timu hii kwa sasa.
 
Sure,mpira ni uelewa tu.Mimi siwezi mlaumu maurinho kama wewe unavyofanya.
 
Mimi sio shabiki wa man,ni chelsea damu lakini naumia roho ninapoona man u wamepoteza identity yao. wanacheza kwa hofu ya kuogopa kufungwa dhidi ya team kubwa, Enzi za Fergie walikua wana dominate games isipokua dhidi ya Barcelona.
 
Mimi sio shabiki wa man,ni chelsea damu lakini naumia roho ninapoona man u wamepoteza identity yao. wanacheza kwa hofu ya kuogopa kufungwa dhidi ya team kubwa, Enzi za Fergie walikua wana dominate games isipokua dhidi ya Barcelona.
They will really miss this :-


Misiba ilianzia hapa:-

 

Mkuu umemsahau akiwa madrid morata pia alimuuza kwenda juve. Dogo akaupiga mwingi kule mwisho wa siku wamiliki wakamrudisha.
Kwa miaka fulani ijayo namuona morinho akiwa ktk avarage team maana timu zote kubwa atakua ameshapita na bad thing ni kwamba haondok kwa wena anakua anaondoka kwa kuharibu. Kinachokera zaid na aina ya mpira anaoucheza, mpira ambao muda wote unawaza usifungwe, unawaza upate kamoja ili upaki. This is shit type of football.
Nimetazama interview yake ya jana anasema city kwa mpira mzur wanaocheza hawapaswi kufunga magoli mabaya kama yale eti wanapswa kufunga magoli ya kuvutia. Sasa unajiuliza mtu kakaa nyuma masaa yote unategemea wenzie wapite vp? Hata ukifungwa kwa ugoko watu wanashangilia tu.
 
namuona akiondoka Man baada ya mwaka ujao. 2019 atakuwa anatafuta timu nyingine. Man hawana utamaduni huu wa kuzuia yaani wachezaji wote 11 uwanjani wanageuka kuwa mabeki.
 
namuona akiondoka Man baada ya mwaka ujao. 2019 atakuwa anatafuta timu nyingine. Man hawana utamaduni huu wa kuzuia yaani wachezaji wote 11 uwanjani wanageuka kuwa mabeki.

Aondoke tu huyu jamaa hana mbinu tena mpira wake umepitwa na wakati akubali tu kila zama na wakat wake
 
Lukaku ni striker mzuri tu tatizo ni man U kwenye game kubwa zote wanacheza on the back foot, hawa-dominate michezo.Timu inapack basi muda wote, striker anakua kati kati ya uwanja zaidi ya 70% ya game halafu unataka magoli?
Kusema wanapaki ni kuwasifia ukweli ni kuwa wanalazimishwa ku paki
 
Lukaku man u ni mzigo kama wasira alivyo mzigo CCM

[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji81][emoji1303][emoji1303][emoji1303][emoji1303][emoji1303]
 
Huyo ni goal poacher mkuu vyenga havina umuhimu sana kwake bali kutikisa nyavu.
 
Sasa apo umedanganya aliyemuuza morata kwenda juve ni ancelloti
 
We kwel mtu wa ajabu hako kamoja na kupaki BA's ns kupata point tatu ndo ushind wenyew co unamilik kama aseno afu matokeo mkasiii, badilika nenda na wakat hatutak kupaka rangi Mpira tunatak matokeo
 
Lukaku hamna kitu kudadeki zake.tungempata Griezman ingekuwa raha
 
Huyu aliyeanzisha hii 'sredi' bado yupo humu kweli??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…