Ni nani alisajili "KESI INVESTMENT" Nchini Rwanda?

Ni nani alisajili "KESI INVESTMENT" Nchini Rwanda?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Kampuni hii inaonekana kusajiliwa nchini Rwanda, Mara tu baada ya utawala wa awamu ya 5 kuingia madarakani mwaka 2016.

Inatuhumiwa kukwapua pesa za umma zaidi ya bilion 400.

Je, kuna mambo tunafichwa juu ya kampuni hii ya usafirishaji wa mizigo?

Je, kwanini imesajiliwa Rwanda na imekwapua kodi za watanzania?

Nani yupo nyuma ya hii kampuni?
 
Usipotoshe!


Kesi investment ni kampuni ya Raia wa Uganda aliyelowea nchini Rwanda.

Mmiliki wa gari hizo ni mfanyabiashara mkubwa nchini Rwanda.Na ndiye anayemiliki kampuni ya ROBA GENERAL.
 
Sasa hivi zimefika Mia nne faw 200...Benz 200
Nasikia ni kampuni ya mzito fulani wa nchi hii, na ndio maana yule jamaa wa kule Rwanda ni marafiki nae wa kudumu.

Wanasema by now ina malori 280 ya kubebea mizigo, mind you, imesajiliwa 2016, mwaka mmoja tu baada ya uchaguzi mkuu wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom