technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Upotoshaji acha!Nasikia ni kampuni ya mzito fulani wa nchi hii, na ndio maana yule jamaa wa kule Rwanda ni marafiki nae wa kudumu.
Wanasema by now ina malori 280 ya kubebea mizigo, mind you, imesajiliwa 2016, mwaka mmoja tu baada ya uchaguzi mkuu wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo ndiyo nimeamini kigogo ni muongo!Kigogo kawalipua huko twitter
leta registration hapaUsipotoshe!
Kesi investment ni kampuni ya Raia wa Uganda aliyelowea nchini Rwanda.
Mmiliki wa gari hizo ni mfanyabiashara mkubwa nchini Rwanda.Na ndiye anayemiliki kampuni ya ROBA GENERAL.
Usinichoshe!leta registration hapa
Usinichoshe!
But leo nimeamini kigogo ni mzushi na staiamini tena habari yeyote toka kwake!
Usichoshwe vipi wakati umeamua kutetea!.Usinichoshe!
But leo nimeamini kigogo ni mzushi na staiamini tena habari yeyote toka kwake!
Hili ni la muhimu.
Hana jina Mkuu .Maelezo yako bado hayajakamilikaUsipotoshe!
Kesi investment ni kampuni ya Raia wa Uganda aliyelowea nchini Rwanda.
Mmiliki wa gari hizo ni mfanyabiashara mkubwa nchini Rwanda.Na ndiye anayemiliki kampuni ya ROBA GENERAL.
Nasikia ni kampuni ya mzito fulani wa nchi hii, na ndio maana yule jamaa wa kule Rwanda ni marafiki nae wa kudumu.
Wanasema by now ina malori 280 ya kubebea mizigo, mind you, imesajiliwa 2016, mwaka mmoja tu baada ya uchaguzi mkuu wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app