Ni nani alishauri Mkwasa akae pembeni kabla msimu haujaisha?

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi

Naomna kuuliza kenge gan mpuuz gan alileta kocha mpya wakati Boniface mkwasa akiwa anafaa kabisa na kutosha kamili gado kwenye kiti cha ukocha wa yanga

Mpuuz gan huyo anatuhujumu hapo jangwani

Mkwasa alipaswa aachiwe hii team hadi mwisho wa msimu siyo kutuletea mshenzi mshenzi kisa ana rangi nyeupe


Shwain kabisa

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli hivyo vijamaa vishamba vya ovyo ovyo kabisa vime tuchabangura kweli kweli, yaaa saa 1 jioni tumeisha lala. Roho inauma kweli kweli
 
Hizi timu mbili Yanga na Simba lazima zijifunze kitu,
Ni vizuri kuwaamini Makocha wazawa,pia wachezaji wazawa acheni mambo eti wachezaji wa kigeni.
 
Hizi timu mbili Yanga na Simba lazima zijifunze kitu,
Ni vizuri kuwaamini Makocha wazawa,pia wachezaji wazawa acheni mambo eti wachezaji wa kigeni.
Sema Yanga, usitake kuificha aibu ya Yanga kwenye kichaka cha Simba. Yanga kapigwa 3-0 full stop, hicho kipigo Simba Ina miaka mingi haijawahi kupokea katika mashindano yoyote ya wabongo
 
Kwani nini maana ya gongowazi?

Gongowazi hajawahi patia akafanya vizuri hata kwa dawa

Ile timu hata apewe zidane mtamfukuza tu
 
Ni aheri vipigo vya ndani kuliko hii ya kupigwa mkono kwa kila mechi ya kimataifa.
Yanga hawezi kupigwa mkono mechi za nje kwa kuwa huwa hafiki hatua za makundi klabu bingwa Africa. Anaishia raundi ya pili au Shirikisho kwa wachovu wenziwe waliotolewa
 
Kwa mechi 1 kwa kocha mpya wala sio kipimo sahihi tena timu ikiwa na kadi nyekundu.
Lakini hakukuwa na ulazima wa kumtoa Mkwasa wakati alikuwa yuko sawa toka apewe timu.
Leo unampa kuwa msaidizi hawezi kuwa na maamuzi kama mkuu.
 
Kweli kabisa, mkwasa yuko poa sana angeachwa amalize ligi.. Mwez wa 5 So mbali
 
Yanga hawezi kupigwa mkono mechi za nje kwa kuwa huwa hafiki hatua za makundi klabu bingwa Africa. Anaishia raundi ya pili au Shirikisho kwa wachovu wenziwe waliotolewa
Mwaka huu mlifika makundi au fluke za msimu uliopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…