Anataka mkwasa afie uwanjani ili ndo ajue kuwa alikuwa mgonjwa.Mkwasa anatakiwa afanye kazi zingine za klabu na sio kukimbizana na Yanga.Mkwasa ni mgonjwa mkuu, haya ni matokeo tu tuwe wavumilivu kidogo. Beira Boy,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe mbona kasema yuko fit kwa asilimia zote, japo kwa macho tu unaona kabisa hayuko fit, sema ndio hivyo tena tatizo atakula wapi.Anataka mkwasa afie uwanjani ili ndo ajue kuwa alikuwa mgonjwa.Mkwasa anatakiwa afanye kazi zingine za klabu na sio kukimbizana na Yanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kagera Sugar alikuwa afikishi 5 au 4_lkn alikuwa anakupiga kamojaa tu Shimbwa chaliii au umeasahau[emoji3][emoji3]Anapigwa na Al Ahly, sio Kagera Sugar
we mke wake kwaniMkwasa hajakaa pembeni hivihivi ni mgonjwa sana,uwezo wake ni mdogo sana qna shida kubwa ya moyo,tumwache apumzike
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kawaida wazee wa historia na jografia, Kagera alikuwa... kwa sasa anajipigia nani?MKagera Sugar alikuwa afikishi 5 au 4_lkn alikuwa anakupiga kamojaa tu Shimbwa chaliii au umeasahau[emoji3][emoji3]
Anaumwa niniMkwasa anaumwa , Mexime anakuja kuwa kocha msaidizi.
Kweli kabisa, mkwasa yuko poa sana angeachwa amalize ligi.. Mwez wa 5 So mbali