Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

Status
Not open for further replies.
udini hauna nafasi katika chadema!

walianza kuzusha chas kimkoa, ikakosa mashiko, wakaja kusingizia udini, nayo pia inaelekea kukosa mashiko.

vyovyote itavyokuwa chadema ni chaguo la kizazi kipya kinachotaka kutafuna kitu roho inapenda!! hakuna tena nafasi kwa hoja zisizo na mashiko!

ukisoma hata katiba yetu mwaaanzo hadi mwisho..haupo kabisa. walau upo ccm!!

CHADEMA Ni chama mbadala!!!
 
udini hauna nafasi katika chadema!

walianza kuzusha chas kimkoa, ikakosa mashiko, wakaja kusingizia udini, nayo pia inaelekea kukosa mashiko.

vyovyote itavyokuwa chadema ni chaguo la kizazi kipya kinachotaka kutafuna kitu roho inapenda!! hakuna tena nafasi kwa hoja zisizo na mashiko!

ukisoma hata katiba yetu mwaaanzo hadi mwisho..haupo kabisa. walau upo ccm!!

CHADEMA Ni chama mbadala!!!
 
Udini umetoka wapi CDM? wewe nadhani unamatatizo, hao CCM waliokutuma wambie kama TZ kungekuwa na udini CCM isingepata kura hata siku moja. Wananchi wakiwa CDM ni wanaudini wanachi hao hao wakiwa CCM hakuna udini, kweli CCM kuna wendawazimu pamoja na wewe.
 
CCM masalia
 
HAYO NI MAWAZO YAKE MSIYAPINGE TOENI YA KWENU MBADALA NA MUONYESHE HANA HOJA SASA MNAKURUPUKA NA KUHAMAKI KAMA TAMBWE HIZA,HAPANA CHADEMA HATUKO HIVYO TUNA UTULIVU NA BUSARA MfUNDISHENI KWA UPOLE MANENO KAMA OOOH UMETUMWA ,HUNA AKILI HAYAMSAIDII NA HAYATAMLETA KUNDINI,MPENI MANENO LAINI MWENYEWE ATAELEWA NA KUINGIA KUNDINI KIRAHISI
 
KARIBU CHADEMA ABDULASAF;;UJE UJIFUNZE ZAIDI NA UKIENDA PEMBA UWAELIMISHE WeNZIO
 
Hakuna udini wala ucadema kama ilivayosema ndugu yangu! cha msingi hapo labda ungekuja na data za kutosha kutueleza kuwa idini wa chadema uko wapi?
 

Makala yako kwangu si mpya kila siku nawaambia hivi someni kitabu cha PSYCHO-POLITICS- RUSSIAN THESIS, Brain Washing Manual.Wana CCM wengi waliosomeshwa Urusi hasa usalama wa taifa enzi za Ujamaa wanambinu chafu za kupata Cheap Populararity wanatumia udhaifu wa waTZ(dini,ukabila,ukanda).Leo hii Chadema au CUF Wamsimamishe Mhaya agombee urais na awe tishio uone matusi yake, najua hamtapigia kura na wewe mleta mada ukiwemo, lakini ukienda ikulu wamejaa.Nyerere ndiye alieanzisha haka kamchezo ili atawale kirahisi lakin si kazuri hata kidogo kanatutoa kwenye utaifa tunaanza kuparaganyika huku tukiacha adui zetu wachache wakitafuna nchi.Msijifanye kusahau kamchezo haka kanaanzia Shuleni hasa Vyuoni,hoo! mara huyu mchaga,mhaya,mnyakyusa, mkristo, muislam tusimchague.Wadanganyika mmenipataaaa!
 
Kuna watu wamekomalia neno UDINI kila sehemu! lakini Watu kadhaa walioguswa wamekuwa wakiuliza haya maswali na hivi sasa nahisi niungane nao kuwaulizeni ili tuelimishane:-
1. Tafsiri ya neno Udini ni nini?
2. Mazingira yapi yanasababisha kuwepo udini?

3. Nani kaanzisha udini?
4. Udini upo kwa manufaa ya nani?
5. Motivation ya anayesema kuna udini ni ipi?
6. Nafasi yake kwenye huo udini ni ipi?
7. Amefanya nini kuuzuia udini kabla hajatangaza kuwa kuna udini?
8. Anaposema kuna udini anakuwa amechangiaje kuuondoa?
9. Ni watu wangapi anaowafahamu katika jamii anayoisemea walishaathirika na udini anaousemea?
 
wewe hukai Tanzania ndo maana unasema hivyo ebu kidogo uje usikilize radio Imani ya Morogoro na redio heri, harafu ndo uje uulize upupu.
 
Udini ni kutengana au kubaguana kutokana na imani za dini
udini upo-Waislam na Wakristo
anaesema-Dakta Kikwete rejea houtuba yake bungeni
nafasi yake-Muislamu mbaguzi
alichofanya-Kuukuza kwa kuwaambia waislamu waandike matamko kichaa

MASWALI YAKO MENGINE NI YA KIPUUZI NA YANA JIRUDIA
 
hayo maswali yako yote kama yamemlenga Dakta Kikwete vile......atayajibu passport ikijaa mihuri ya visa......au labda yeye anaenda diplomatic bag...mi sijui.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…