Tambala mbovu
Member
- Sep 9, 2014
- 84
- 97
Usajili una tegemea kufunguliwa kwa dirisha la usajili...!!!Kwa soka la bongo inawezekana kabisa tena wala usishangae.
Wachezaji waliomaliza mikataba yao unaweza kumsajili ila hautomtumia mpaka dirisha la usajili lifunguliwe. Mfano alivyosajiliwa Saidoo ntibanzokizaUsajili una tegemea kufunguliwa kwa dirisha la usajili...!!!
Kuna Tofauti kubwa baina ya kuingia mkataba na kufanya usajili....!!!
Dirisha la usajili bado wewe una sema bongo Ina wezekana.
Hebu toa mfano mchezaji ambae amesajiliwa bila dirisha la usajili kufunguliwa.
TMS ndio Ina onyesha usajili wa mchezaji na Ina funguka kwa Vipindi maalumu tu.
Akili za Manara Hizi..Hapo Awali Haukuwa Hivi.Mo Dewji (Chupli Chupli) amepigiwa kura lini na nani mpaka amepewe Urais Wa Heshima?
[emoji16][emoji16]
Ajabu sana, na kuna mchezaji wao ana magoli kumi kwenye mechi za kirafiki, lakini kwenye Premier League ana mabao mawili, lakini anaimbwa vibaya sana.Tanzania raha Sana
Mtu anatoka huko hata kusoma hajui lakn akija huku anatunukiwa udaktari na uprofesa
Nabi
Aucho
Lakn kagere anafunga fei toto anakiwasha hata udaktari hawapewi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hapa Eng Lwanga pale Dk Aucho biriani la kispaniora Simba wahuni Kama woteThadeo Lwanga mkata kinyesi akisimama na Dr.Aucho pale mambo swaaaafi kabisa.
Simba inawahuni wengi sana.
Mi nilivyosikia tu Kassim Dewji karudi kwenye uongozi nikasema baas ipo siku Injinia ataokolewa na FFU pale Jangwani.Kassim Dewji atasababisha Watu wapumua kwa shida yaani.
Ameanza Umafia mapema namna hii...!
Baelezee baelewe.Kasaini Simba miaka miwili
sio bongo hata mbele,kumbuka sakata la babertov,rubenKwa soka la bongo inawezekana kabisa tena wala usishangae.
Hizi tarifa mnazitoaga wapi,mkuu.Kasaini Simba miaka miwili
Wakishashiba maharagwe JF ndio sehemu yao ya kupumulia exaust zao.Hizi tarifa mnazitoaga wapi,mkuu.
ππWakishashiba maharagwe JF ndio sehemu yao ya kupumulia exaust zao.
ππKasaini Simba miaka miwili
Wewe ndiye Dr. Musukuma!Wakuu kama nitakuwa nimemfananisha basi mtanisamehe
Nimemuona Dr. Aucho akiwa na kiongozi mmoja wa Wekundu wa Msimbazi.
Naamini lazima kuna mtu wa ndani wa Yanga anahusika, je ni nani anaihujuma Yanga?