NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Hawa jwaneng kiherehere chao kitawaponzaKocha wa Jwaneng galaxy Fc amesema kuwa "Simba sc Kama wanataka kulipa kisasi basi wangelipa zile goli 5 walizofungwa na Yanga Sc"
Maoni Yangu: kwa muonekano huu inaonekana Jwaneng galaxy Fc wanataka hii mechi tahadhari kwa Mo dewji Fc.
Link hii hapa ya interview.
View: https://twitter.com/ndembo255/status/1763565383934427635?t=MfdKxScgj3Em1sJT2S9S4Q&s=09.
Nilikuwa sijacheka leo kutwa nzima, nimecheka sana. LolsKocha wa Jwaneng galaxy Fc amesema kuwa "Simba sc Kama wanataka kulipa kisasi basi wangelipa zile goli 5 walizofungwa na Yanga Sc"
Maoni Yangu: kwa muonekano huu inaonekana Jwaneng galaxy Fc wanataka hii mechi tahadhari kwa Mo dewji Fc.
Link hii hapa ya interview.
View: https://twitter.com/ndembo255/status/1763565383934427635?t=MfdKxScgj3Em1sJT2S9S4Q&s=09.
Daaaah haya bana..ila mbona hamjamsikiliza vzr? Nimeamini wachambuzi wengi hawajua lugha aisee..Atakuwa mwasibu wetu OKW BOBAN SUNZU au huwa wanasoma nyuzi za GENTAMYCINE humu JF ndio wakaona japo nina wasiwasi na Kalpana Maana fridge lake haligandishi. ππππππ
We chizi kweli kweli, yaani huko botwana hakuna YouTube?Kocha wa Jwaneng galaxy Fc amesema kuwa "Simba sc Kama wanataka kulipa kisasi basi wangelipa zile goli 5 walizofungwa na Yanga Sc"
Maoni Yangu: kwa muonekano huu inaonekana Jwaneng galaxy Fc wanataka hii mechi tahadhari kwa Mo dewji Fc.
Link hii hapa ya interview.
View: https://twitter.com/ndembo255/status/1763565383934427635?t=MfdKxScgj3Em1sJT2S9S4Q&s=09.
Toa Simba sc wewe..hizo tabia za kike na za kishoga wanazo washabiki wa yangaUTOTO WA SIMBA NA YANGA BN.....
WATU WAZIMA KABISA HUWQ WANAACHA AKILI PEMBENI.......