Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,901
- 27,423
⌚💯Hivi kuna uwezekano serikali ikaufungia mtandao wa 'X' (Twitter), lakini bado viongozi wake wakawa wanaendelea kuutumia kwa ku post na kufiatilia taarifa mbalimbali ikiwemo kuendelea kufanya online engagements?
Kabla ya kuufungia huo mtandao kuna taarifa yoyote rasmi serikali iliitoa kwa wananchi wake na watumishi wa umma kwamba serikali ime ban mtandao huo? Kwa muda gani? na sababu zipi? Au kuna watu tu wakajiamulia kuufunga?
Je viongozi na watu wengine wanaoendelea ku post kule, wenyewe wanatumia njia gani kuweza kuutumia mtandao huo? Kwanini? Kulikuwa na ulazima gani wa kuufunga?
Vipi kuhusu watu wafanyao biashara kupitia mtandao huo? ndiyo wahesabia kuwa maduka yao yamefungwa? Vipi hizo sababu zilizopelekea mtandao huo kufungwa hazipo kule TikTok , Instagram na facebook?
Kwa hali hii si ni rahisi sana Tanzania ikarudishwa gizani? Vipi kama vijana wa mataifa shindani wataitumia hiyo kama fursa ya kuwaondoa watanzania mitandaoni na kupunguza ushindani wa fursa za kimtandao?
Binafsi nilimtetea sana huyu kiumbe.Mlisema anafungua nchi
Mimi niliona ni mtu feki toka mwanzo alikuwa anaigizaBinafsi nilimtetea sana huyu kiumbe.
na bado mbona hawajasema, hii ni trailer tu mbona!Mlisema anafungua nchi
Unachokiona jua ndiyo unachokitafuta ukiwa huko. Algorithm inakuletea na kukupeleka kwenye yale uyaangaliayo ukiwa huko ukiadhani hakuna anayekuonaX kimaadili ni mbaya .Acha waifungie
Hapana mkuu. Kuna vitu uwa naviona na sijawai kusearch wala kufollow na hii ndio kwasbb situmii xUnachokiona jua ndiyo unachokitafuta ukiwa huko. Algorithm inakuletea na kukupeleka kwenye yale uyaangaliayo ukiwa huko ukiadhani hakuna anayekuona
Angalia watu unaoji engage nao huwa wanatembelea zaidi mitandao ipi. Kulingana na watu unaoji engage nao huwa algorithm inakuletea kama suggestion,Hapana mkuu. Kuna vitu uwa naviona na sijawai kusearch wala kufollow na hii ndio kwasbb situmii x
Donald anachukiwa kwasababu anasema ukweliTrump alikuww sahihi sana kuhusu Afrika
Kabisa mkuuTrump alikuww sahihi sana kuhusu Afrika
Hasa pale ambapo form four anavikw PhD na kuongoza nchiNchi za Africa zina taabu sana
Kwahiyo viongozi wetu hawana maadili?X kimaadili ni mbaya .Acha waifungie
Ulikuwa unaona nini kwa huyo bibi mpaka ukawa unatetea?Binafsi nilimtetea sana huyu kiumbe.