Kafanyaje?My Kontre bwana
Ndo ujue humu mandondocha ni mengi mtu akishaandika tu nao hujaa kichwa kichwa bila ya kua na ushahidiKichwa cha habari kinamtaja Abdul. Maelezo ya kamishna hayataji mtu yeyote.
Still unashangilia ujinga bro,acheni kubumba kila stori na Huyo abduli
Huyu lyimo tulishasema anataingia anga za cartel na watamkula kichwa muda sio mrefu kwa shobo zake
Alikuwepo mzungu wa tembo mwenye hadhi na connection mpaka kwa wafalme huko UK na aliliwa kichwa mchana kweupe na Dereva wa taxi huko Masaki
Unajaribu kusema nini? Tuache biashara za miadarati zifanyike watakavyo hao drug cartels?acheni kubumba kila stori na Huyo abduli
Huyu lyimo tulishasema anataingia anga za cartel na watamkula kichwa muda sio mrefu kwa shobo zake
Alikuwepo mzungu wa tembo mwenye hadhi na connection mpaka kwa wafalme huko UK na aliliwa kichwa mchana kweupe na Dereva wa taxi huko Masaki
Dah!acheni kubumba kila stori na Huyo abduli
Huyu lyimo tulishasema anataingia anga za cartel na watamkula kichwa muda sio mrefu kwa shobo zake
Alikuwepo mzungu wa tembo mwenye hadhi na connection mpaka kwa wafalme huko UK na aliliwa kichwa mchana kweupe na Dereva wa taxi huko Masaki
Kamishina hana ulinzi wa nyoka wenzake kwani ? Au kuna kitu kingine hapoHapa Nchini aliyepo juu ya Sheria ambaye tumesikia mara kadhaa anafanya atakavyo ni 'mmoja' tu!
Hakuna Mwingine mwenye jeuri ya kumtisha Kamishina wa madawa ya kulevya.
View attachment 3547442
Halafu Polisi wanafuatilia watu wanaoandika Mitandaoni na kudaia Serikali ina Mkono mrefu, halafu wanashindwa kukamata mtu anayemtishia Kamishina wa kupambana na Dawa za Kulevya.
Aretas Lyimo, Kamishna Jenerali DCEA, amelalalamikkia kutishiwa maisha. Ofisi ya kupambana na dawa za kukevya ipo Mita mia moja 100) kutoka Ikulu ya Dar es Salaam ilipo.
Lymo amelia sana na kulalamika na kuomba Gazeti la Mwananchi wahikikishe Taarifa hiyo inachapishwa ili waanganyika wajue.
"Matishio yanakuja, watu wanatishia. Unaweza kutumiwa message (ujumbe mfupi wa maandishi) hapohapo, ukiitafuta ile simu kwenye mtandao Ile simu kwenye mtandao haipo. Anakwambia hili jambo usipoliacha, labda mwezi fulani haufiki, tutakuwa tumekuua. Au mtu anakwambia hakikisha hili jambo unaachana nalo." Kalalamika Kamishina Aretas Lymo
Je, nani anamtisha Kamishina kiasi kwamba Polisi wanasema namba hawaipati? Kwamba laini inatupwa na simu inatupwa? Simu imepigwa kutoka IMEI namba ipi?