una usingizi Mkuu.pumzikanitakutia bonge la kofi ndemwa wewe ndio nini ameandika
DohKaa mbali na Mm, ni mkorofi sana.
Aaaah,,,,,mkuu nimekusoma sasaTell her
Nadhani ni utovu wa nidhamu lugha mbovu,matusi,kashfa n.k.hao watu nilikua nikisoma comments zao nilikua nacheka sanaDuh! Huwa wanafanya nini hadi wanafungiwa?
Yeah kwel mkuu wadau hawapo hua narefresh kwa michango yaoKwaiyo sahivi furaha yako imepungua sababu wadau wako hawapo?