Ni nani anastahili kuwa MwanaJamiiForums bora wa mwaka?

Nani Mwana JamiiForums bora wa mwaka kati ya hawa?

  • The Boss

  • Faiza Foxy

  • Mzee Mwanakijiji

  • BAK

  • Pasco

  • Heaven Sent

  • Victorie

  • Technically

  • Mshana Jr

  • Lizaboni


Results are only viewable after voting.
Wapi

1. The bold

2. [HASHTAG]#Nyanyi[/HASHTAG] [HASHTAG]#Ngabu[/HASHTAG]

3.....
 
Wote ni bora maana nina imani ni Great thinker
 
Mwenye hizo sifa zote apatikane jukwaa hili! Ngoja nisubiri matokeo..
 
mpaka ntakapo muona chief mkwawa hapo ndo list itakuwa inekamilika yule jamaa amasaudia sana hasa kwenye yale mambo ya Tehama
 
Haki Katika uchaguzii huu haipo kama mzee mohamed said hatowekwa
 
Mbona Le Mutuz hayupo hapo kwenye list??
Hahahaa know hahaahaa le mabebez[emoji23]
 
The bold kutokuwepo hapo imeonesha wazi wew ni mbaguzi, hakuna jukwaa gumu kama kupata likes na comments nyingi kama jamii intelligence... The bold ndo huwa anaua kule
 
CHIEF-MKWAWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…