Ni Nani anayumbisha Serikali, Nani alitoa go ya kumtukana mama, Nani anayetaka Bashe aanguke, Nani anataka biashara K koo isimame?Nani?

Paul Alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2012
Posts
4,351
Reaction score
9,838
Wakuu salaam!

Naweza kupingana na mama sehemu nyingi ila kuna mambo ya kimaslahi kitaifa siwezi kupinga. Mama ana mapungufu yake ila???
Ila??

Nani anayetaka wafanyabiashara Kariakoo wagome na kwanini?
Ni Nani huyo anayetaka kunyonga koo la uchumi wa nchi na kwanini?

Wasukuma bwana! Hawajawahi kumheshimu mwanamke!
Wanaongea tu kinafiki ila kwenye mioyo yao wanatamaani mwanamke aanguke!

Yes yes! Naongelea Sukuma gang'
Maana Kuna mtu anaitwa Musukuma aliongelea kidogo sakata la wafanyabiashara Kariakoo halafu kidogo mambo yanakuwa mambo!

Watu wanataka kumchanganya mama, wanataka kuangusha nguzo zake zote!

Wameanza na Bashe, huku anapigwa Nape.. Mwigulu yuko kwenye kikaango.. Wanaopiga wote wako ndani ya Chama na ndani ya bunge...

Kwanini wanapiga muda huu? Je, haya mapigo ndio yao ya mwanzo na mwisho? Nop! Hawa watu wapo strategic na haya sio mapigo ya mwanzo tu! Wanajua jinsi ya kuangusha mamlaka na huu ni mwanzo tu! Mambo mazito yanakuja mbele.

Binafsi natamaani stability kwenye nchi! Sikupenda financing strategy ya hizi flagship projects na hata baadhi ya projects zenyewe sikuzipenda.
Ila Kuna jambo natambua! Wakati mama anaingia, hizi flagship projects zote zilikuwa katikati na tayari tulishatumia hela nyingi, za ndani za mikopo whatever.. Hazikupaswa kusimama!

Sasa mama angefanyaje? Uchumi ulikuwa mtaroni na madeni ya kuona!
Angefanyaje?

Mimi namshauri mama! Linda majemedari wako wa karibu, angalia maadui wako vizuri maana mnasalimiana kila siku.. Kisha tumia busara ongoza nchi!
 
Kwahiyo 'stability' ni kukaa kimya hata kama unaona mambo yanaenda ndivyo sivyo?
 
Ngoja waje

Wasukuma wanaingiaje hapo? Acha kuingiza ukabila kwenye siasa lafa wewe.
 
Waziri mkuu ameunda KAMATI Mia mbili hakuna matokeo na wala hajawi kutoa MREJESHO Kwa nini mgomo usiendelee
Industrial action Kama hii migomo kwenye biashara inauwezo wa kuumiza uchumi hata political set up ya nchi kuliko political action...
Sasa swali?
Kwanini tunataka kujipiga risasi kwenye mguu? Kwa faida ya Nani?
 
Wakuu salaam!

Naweza kupingana na mama sehemu nyingi ila kuna mambo ya kimaslahi kitaifa siwezi kupinga. Mama ana mapungufu yake ila???
Ila??

Nani anayetaka wafanyabiashara Kariakoo wagome na kwanini?
Ni Nani huyo anayetaka kunyonga koo la uchumi wa nchi na kwanini?

Wasukuma bwana! Hawajawahi kumheshimu mwanamke!
Wanaongea tu kinafiki ila kwenye mioyo yao wanatamaani mwanamke aanguke!

Yes yes! Naongelea Sukuma gang'
Maana Kuna mtu anaitwa Musukuma aliongelea kidogo sakata la wafanyabiashara Kariakoo halafu kidogo mambo yanakuwa mambo!

Watu wanataka kumchanganya mama, wanataka kuangusha nguzo zake zote!

Wameanza na Bashe, huku anapigwa Nape.. Mwigulu yuko kwenye kikaango.. Wanaopiga wote wako ndani ya Chama na ndani ya bunge...

Kwanini wanapiga muda huu? Je, haya mapigo ndio yao ya mwanzo na mwisho? Nop! Hawa watu wapo strategic na haya sio mapigo ya mwanzo tu! Wanajua jinsi ya kuangusha mamlaka na huu ni mwanzo tu! Mambo mazito yanakuja mbele.

Binafsi natamaani stability kwenye nchi! Sikupenda financing strategy ya hizi flagship projects na hata baadhi ya projects zenyewe sikuzipenda.
Ila Kuna jambo natambua! Wakati mama anaingia, hizi flagship projects zote zilikuwa katikati na tayari tulishatumia hela nyingi, za ndani za mikopo whatever.. Hazikupaswa kusimama!

Sasa mama angefanyaje? Uchumi ulikuwa mtaroni na madeni ya kuona!
Angefanyaje?

Mimi namshauri mama! Linda majemedari wako wa karibu, angalia maadui wako vizuri maana mnasalimiana kila siku.. Kisha tumia busara ongoza nchi!
Post yenyewe imejaa UKABILA tu, sasa wasukuma wanaingiaje hapo.? 🙁
 
Back
Top Bottom