MovingForward
JF-Expert Member
- Nov 10, 2009
- 489
- 49
Tunapozungumzia wabunge waliokaa bungeni kwa muda mrefu, hatuwezi kumsahau Mzindakaya ambaye alitimiza miaka arobaini bungeni mara baada ya uchaguzi wa 2005.
Atakayemngoa ni mwanaye Violeth Mzindakaya , kwani huo ni utamaduni wa ndani ya CCM
hapo hatamng'oa bali 'atampisha'
Atakayemngoa ni mwanaye Violeth Mzindakaya , kwani huo ni utamaduni wa ndani ya CCM
Tunapozungumzia wabunge waliokaa bungeni kwa muda mrefu, hatuwezi kumsahau Mzindakaya ambaye alitimiza miaka arobaini bungeni mara baada ya uchaguzi wa 2005.
Tunapopima maendeleo ya jimbo la kwela, tukilinganisha na muda aliotumika bungeni, ingawa kwa vipindi vichache, tangu wakati ule likiwa ni sehemu ya jimbo la Sumbawanga vijijini, hatuoni jambo lolote la mfano ambalo tunaweza kuzipongeza jitihada zake.
Kwa wale waliopata kufika au kupata habari za jimbo hilo kwa kina ninawaombeni tuingine ndani ya mada hii tuichambue mada hii: Je! Ni nani atakaye mtikisa na kumng'oa Mzindakaya?
hakuna cha imani hapa, cristan majiyatanga mzindakaya anaogopewa kwa uchawi jimboni mwake. lisemwalo ni kwamba baba ake alikuwa mchawi aliyebobea hamna mfano na amekabidhi mikoba kwa mwanae cristan. watu wa kwela wanamlalamikia kichinichini tu hamna mwenye ubavu wa kumsema mbunge wao hadharani, awe msomi au mjinga. kwa mantiki hii kama watu wa sumbawanga hawataachana na imani za kishirikina akina mzindakaya wataendelea kuwabumbuwaza milele.Kama amedumu muda wote huo... basi haiyumkini tunayo institutional memory ya binadamu ukiacha hansards!
Kadhalika inaonyesha imani kubwa waliyo nayo wapiga kura wake!