Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Mechi ishakuwa ngumu, tayari tumeshafungwa na wachezaji wanafanya makosa ila hawataki tuwazomee wakikosea! Ati tukiwasema hatuna adabu na tayari tushafungwa 2 - 0.
Mganga Mkuu analalamika, anasema eti mlundikano wa wagonjwa mawodini ni kwa sababu madokta nao wanaumwa! Kwa hiyo hakuna wa kumuuguza mwenziye!
Kiongozi wa manamba anasema tusiongee tena wala kuhoji timu kufungwa, ila tumshangilie kocha Ili afanye kazi Kwa moyo!