Mu Hali gani humu?
Tutete kidogo kuhusiana na Rushwa za ngono hasa maofisini. Suala la rushwa ya ngono maofisini limekuwa gumzo Kila kukicha, sasa Kuna sehemu niliketi buana, tulikuwa wanaume na wanawake.
Hii MADA ikaja mezani, Guess what! Wanaume takriban wote hoja Yao ilikuwa ni kwamba, mazingira ya hizi rushwa kutokea maofisini zinatengenezwa na wanawake wenyewe. Unakuta Boss Hana hata wazo la sexual na mfanyakazi wake lakini Kuna mazingira akitengenezewa inamlazimu tu. Mfano uliotolewa, ni
1. KUJIONESHA KILA MUDA OFISINI KWA BOSS
Hakuna kitu Cha maana kati yako na Boss wako lakini ushaenda ofisini kwake. Mara ujikalishe hovyohovyo, mara ummwagie sifa, umsogelee na kadha wa kadha
2. UNAPELEKA CHAI WAKATI SIO KAZI YAKO
Mdada akifika tu ofisini huyo keshakimbia kupeleka chai kwa boss, ilihali sio jukumu lake.
Haya ni baadhi ya mambo yalozungumzwa kuwa visababishi vya tamaa za ngono kwa Ma BOSS zetu. Kusema kweli nilijitahidi kutetea hoja yangu lakini waaapi wale mabwana niliona kama point zao zina make sense .Sasa swali likabaki kwangu hivi ni kweli sisi ndio chanzo Cha rushwa za ngono ofisini?
Mawazo yenu please