Ni nani hasa alimuua Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Bwana Robert Ouko?

Moi naye kalala sasa anapambana na Mola wake.
Haya majitu makatili namna hii huwa naona hayana hofu kabisa ya Mungu.
Ni mashetani yenye kuwa na mwili wa kibinadamu.
Madaraka uwa yanalindwa kwa gharama yeyote , Mungu hawezi saidia hapo wacha binadamu watumie akili zao
 
Taarifa ipo biased Sana na haina Uhalisia japo inaaminika Sana.
Ouko Alikuwa na maadui Wengi aliowajua na baadhi Yao hakuwajua kabisa.

Pitia vizuri sakata la jaribio la kuanzisha kiwanda Cha Molasses.
 
Very interesting....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndio maana wamemfanyia display ya nguvu marehemu. Yaani amepata kitambi kikubwa baada ya kutangulia mbele ya haki.
Sijawahi kuona marehemu amewekwa kwa style ya Moi alivyowekwa.
Kuhusu Ouko, Biwott inaelekea ndiye aliyefanya yale. Na maisha yake aliishi kama kuna siku kisasi sijalipwa.
RIP Ouko. Rest Easy President Moi and Biwott. I believe by now you have seen a comrade who got forced eviction from this world using your powers
 
Taarifa ipo biased Sana na haina Uhalisia japo inaaminika Sana.
Ouko Alikuwa na maadui Wengi aliowajua na baadhi Yao hakuwajua kabisa.

Pitia vizuri sakata la jaribio la kuanzisha kiwanda Cha Molasses.
Maaduli hao ni kina nani? Kama ousting yake alifanya Rais na siku chache baadae akauwawa, nani ni mshukiwa hapo?
Kuna mambo hakuna binadamu atakayeweza kuyaficha milele
 
Kitu nnachoamini ni kuwa Ukiwa kiongozi na mabaya yatayowakuta wapinzani wako yatahusishwa na ww pasipo na ushaidi wowote mbali na kuutumia upinzani wenu kama kigezo cha shutuma,hii tabia ndio imekuwa fursa kwa mabeberu kurudi tena Afrika kwa kuvaa sura ya huruma,na Mara nyingi haya mauaji yanaratibiwa na mabeberu ili kuichafua serikali wasiyoitaka au kuanzisha political instability,Sikatai kuwa haya matukio ya mauaji kuwa hayana kabisa uhusiano wowote na mihimili ya uongozi ila nnachozungumzia ni kuwa si kila tukio limeratibiwa na serikali,haya matukio mengine ni political propaganda au wanasiasa/wasakatonge(terrorists) wanayatumia kama advantage kwa maslai yao binafsi,Mfano nimesoma hili bandiko nimelisoma na kuona huu uchunguzi ulijikita zaidi kwenye mhimili wa siasa kama chanzo cha kifo ambapo pia hamna ushaidi murua wa kusema serikali ilihusika ila kwavile serikali haikuwa kipenz cha watu so lolotu baya linaaminika kiurahisi,Wachunguzi wa hii kesi walipaswa kuangalia marehemu aliishije na jamii inayomzuka yaan koti la uwaziri lilionekanaje mbele ya hadhira linapokuja maswala ya nje ya Kenya na pili alikuwa na harakati zipi za kusaka tonge mbali na serikalini na mpaka dk za mauti hakukuwa na sintofahamu yoyote,tatu alitumiaje madaraka yake dhidi ya jamii,NNE alikuwa na uhusiano gani na viongozi wenzie ,Tano mitizamo yake kama kiongozi ili kuwa ya namna gani na Je ilishahabiana ya wenzake au laah kama hapana je ingeleta athari kwa baadhi ya viongozi wengine? kama ndio basi tunajiuliza kwa kiwango kipi?, Sita unaangalia ni namna IPI waathirika wa mitazamo pinzani ya Ouk wangemdhibiti bwana Ouk ambapo unajiuliza hakukuwa na namna ya kumdhibiti mbali na kumuua? mfano tukimchagua Moi kama mshukiwa unajiuliza je Moi asingeweza hata kumzui bwana Ouk kwa kumuhamisha kitengo/kumpokonya cheo ili aliyokusudiwa kuyareport yazimwe ,Saba na mwisho Je bwana Ouk aliwai kuwa na mikakati ya vyeo vya juu zaidi ya uwazili mfano uraisi au (makamo wa raisi & waziri mkuu) ambapo huenda alikuwa anampigia mtu upatu awe raisi yeye apewe moja ya hvyo vyeo,Kwa kuhitimisha hizo shutuma za Moi siwezi ziamini maana bado zimekaa kipropaganda kuliko kiuhalisia zaidi mfano wanasema mashuhuda zaidi ya 100 wameuawa ktk mazingira tatanishi kwamaana Ouk aliuawa mbele ya mashuhuda 100 sasa swali ni kuwa wauaji gani hao wanaweza fanya tukio kwenye kundi kubwa la watu kiasi hicho mpaka wakapata na muda wa kumchoma moto



OVA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moi mwenyewe alisema Ouko alijikwaa kwenye nyayo.
Gari iliyomchukua Ouko nyumbani kwake kwenda kuuawa ni ya serikali, na watu waliiona.
Moi aliitisha uchunguzi kutoka Scotland Yard chini ya Supt John Troon, lakini akapanga kuwa security operatives wataweka mazingira ya kumnyima Troon access ya taarifa sahihi kwa kumtengenezea wrong leads, lakini walipoona Supt Troon anawazidi ujanja na anaelekea kulekule ambako hawakutaka afike wakamfukuza kabla hajakamilisha uchunguzi.
Hata hivyo kesi bado ilifanyika kwa taarifa zilizokuwapo na bado Nicholas Biwott akawa implicated kama suspect number one (na kila mtu alimjua Biwott kama mkono wa Moi) na mkuu wa wilaya Jonah Anguka akawemo pia. Joining the dots, hakuna namna ya kumuondoa Moi kwenye lawama kuhusu kifo cha Dr Ouko.
 
Supt John Troon alipohojiwa miaka mingi baadaye alitoa ushuhuda wa uhusika wa serikali katika kifo cha Ouko:
"...........“Paul Kobia, the then Nyanza Provincial Commissioner, called me one day and told me I have to stop. I was getting too close. That was a threat right there, someone was not happy,” says Troon, adding that, “Everytime I interrogated a suspect, the Specia lBranch picked the same suspect up in the dead of the night and interrogated him before taking him back to the cells. I protested to the Commissioner of Police who feigned ignorance. When I threatened to report him to my embassy in Nairobi, the interrogations stopped.”

Undani zaidi soma I was poisoned as I ate fish in Kisumu - Scotland Yard detective John Troon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…