Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Naomba nijibiwe kwa ushahidi sio hearsay, ni nani hasa mmiliki wa UTT AMIS?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Phone: +255 22 2122501 ,Naomba nijibiwe kwa ushahidi sio hearsay
UshahidiNi mfuko wa UWEKEZAJI WA PAMOJA ulionzishwa na Serikali kwa ajili ya kuwezesha wananchi kujiwekea akiba na kuwekeza katika masoko ya fedha na mitaji.
.
Mfuko huu unawapa fursa wale wote ambao aidha wana pesa kidogo hivyo kushindwa kuwekeza kwenye soko la hisa, au kwenye dhamana za serikali za muda mfupi na mrefu (Treasury Bills & Bonds) au BASI TU hawana uelewa wa kutosha kuhusu mambo ya uwekezaji nao wapate mahali ambapo wataziweka fedha zao.
shida yako nini hasa bwana mdogo?Naomba nijibiwe kwa ushahidi sio hearsay
Then what?Mary's father is twice as old as she is. ...
Temba ni naniTajiri TEMBA and Government
I get dressed. Then I have breakfast. Je m'habille.Then what?
Yes m'habille,You mean you was naked or what do you mean🫠I get dressed. Then I have breakfast. Je m'habille.
You was naked?😭😭😭Yes m'habille,You mean you was naked or what do you mean🫠
Ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaNaomba nijibiwe kwa ushahidi sio hearsay