Ni nani hasa mmiliki wa UTT AMIS?

Hofu yangu ni Nehemia Kilave hata elewa hii lugha
 
Nimefuatilia sana hao UTT AMIS wanatoa faida ndogo sana , hata ukiwekeza huko ni kama umezitupa tu fedha zako , Kwa mtaji wa billion Moja utapokea gawio la milioni 60 Kwa MIEZI 6! Sasa ukiweka milioni Moja utapata Nini?
Wapi wanako toa faida kubwa?? Na mimi nikaweke pesa mkuu. Jifunze kutofautisha kati ya Biashara (Business) na Uwekezaji (Investment)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…