Nadhani hii statement bado ipo wazi na huo ndo ukweli!Wajuzi wa mambo japo siyo rasmi ila watu hunong'0na kuwa kiukweli, Mwanamke HANA DINI, bali humfuata mume. Argument hii sina hakika kama ni valid hadi leo au ni enzi hizo za upagani
Kwani bi Dada wewe kwako Yesu ni Mungu au mtoto ??Binafsi siwezi kubadili dini kisa Mapenzi. YESU ni bora kuliko hiyo ndoa
Kaanzishe uzi wako tujadili huwezi kula kona.Kwani bi Dada wewe kwako Yesu ni Mungu au mtoto ??
Una hasira hivi hata huyo "Yesu" unamtumikiaje, tunaoamini kuwa Yesu ni mwokozi wetu hatupo hivo tuna roho ya usikivu na uvumilivu,na hivo ndio hunioni unanijibu hivo je ungekuwa unaniona si ndio ungenitukana kama sio kunipiga kabisa.Kaanzishe uzi wako tujadili huwezi kula kona.
Changia kuhusu mada
We cute mpaka kwenye brainBinafsi siwezi kubadili dini kisa Mapenzi. YESU ni bora kuliko hiyo ndoa
Hivi wewe una nini lakini?Una hasira hivi hata huyo "Yesu" unamtumikiaje, tunaoamini kuwa Yesu ni mwokozi wetu hatupo hivo tuna roho ya usikivu na uvumilivu,na hivo ndio hunioni unanijibu hivo je ungekuwa unaniona si ndio ungenitukana kama sio kunipiga kabisa.
Kwanini mbadili dini, si kila mtu abaki na dini yake?Linapokuja swala la kubadili dini katika mahusiano, Wanaume wengi wa kiafrika huwa inakuwa ngumu sana. Na pale inapotokea kwa mwanaume huwa wengi wetu tunamshangaa kidogo mwanaume anaebadili dini yake kumfata mpenziwe wa kike.! Ila kwa mwanamke kumfata mwanaume ni kama kawaida na wengi wanaona inatakiwa kuwa hivyo.
Kwa upande wako vipi ikitokea?, uko tayali kuhama kwenye imani yako ulipo zaliwa ukiabudu kwa ajiri ya Mapenzi?!.