Kuolewa tena? Nitake radhi ww bintiUtaolewa
Na yule anaesema
ARE WE YOU?
ARE YOU WE?
IS. TBL. YOU?
ni nani?
Woyooo tukutane bar sasa jioniHuyo ni Kennedy the remedy
WA xxl
Huyu jamaa ameingiza hiki kionjo cha "Alaa!" katika tangazo la Fiesta linalorushwa na kituo cha redio cha Clouds Fm na kufanya tangazo linoge. Je huyo jamaa ni nani?
Na yule anaesema ukiiga hii unapasuka msamba unakufa!
Ni nani?
Na yule wa tigo fiesta 2017 mara paaaap hiiiiiiiih tumekusoma alikuwa nani?Gardner G Abash
Na yule wa tigo fiesta 2017 mara paaaap hiiiiiiiih tumekusoma alikuwa nani?
Gadner G. HabashUnaumwa ubumwi...ukosefu wa burudani mwilini
Sikiliza clouds fmWeka kwanza hapa nasi tulisikie
Kennedy The RemedyNa yule anaesema
ARE WE YOU?
ARE YOU WE?
IS. TBL. YOU?
ni nani?