Grand Master Dulla
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 411
- 148
sio Tanzania nzima, sikuwahi msikia
sio Tanzania nzima, sikuwahi msikia
Mi nishamsikia, na sifa yake kubwa ni kuwa ukienda cinema enzi hizo au mbowe klabu na demu kisu, basi huchezi nae kwa raha, anakuja kumbambia na kumvutia kwake, ole wako ulete kidodomo unapewa NAKOZ za kufa mutu. Basi akawa anawaonea wahindi huyooooo. Kama we demu kisu unajua sana kuyarudi matwist na jazz band mkisikia yupo ukumbini shurti kucheza kama wagonjwa wa kifaduro lasivo ndo ushapata kampani hivooo! Hii ishu alinipa mama Lara 1 enzi hizo akiwa Mzumbe ila ndo kamaliza Aghakani (Mzizima) anamchuna baba lara 1 akiwa kapata kazi, baada ya kurudi Unyamwezini, ila ushamba wa Marangu haujamuisha. Kila weekend Mama Lara 1 ANAMUONESHA JIJI NA MATAA YAKE!!!! Chezeya! Bata lilikuwa Zamani saivi tunazuga tu!!!! Umenikumbusha mbali sanaaaaaa! AGE IS A THIEF!!!!!
sio Tanzania nzima, sikuwahi msikia
i see lara tupe stori zake bwana mana unaonekana unamjua vizuri sana.
Hahahaaaaa! Mpaka niwe na Mamushka Lara 1 mutoto ya migo migo ndo anaemjua uzuri, mie ananihadithiaga kidogo kidogo katika shindano letu lisilo rasmi la MAMA VS MWANA NANI ANATEKETEZA BATA ZAIDI KATIKA UJANA!!!! Hahahaaaaa! Nampaga ushindi wa mezani tu, manake KULA BATA ENZI HIZO WAKATI WENZIE BUSY WAKIJENGA NCHI SI MCHEZOOO!!!! Sasa kuonesha yeye zaidi ndo ananipaga stori za wakali wa enzi hizooooooo!
Nyingine nilisikiaga kuwa akienda kwenye vilabu au sehemu ya pombe anaanzisha vagi lolote afu anamwga ile mitingasi na kukomaa wamdai yeye ili aonekane anazooooo.
alisha kufa.pale iringa alikua na crew yake yakina chansela na wengne kibao jamaa alikua anapga ngumi mbaya dizan kwao wote walikua wababe maana ata dada'ke alikua anapga mbaya.kuna wakati walifanya msako iringa wanakamata vibaka ukikutwa na panki au mlege unapgwa mbaya kisa mwenzao alipgwa na cku km 3 baada ya msako wenzao km2 walikufa kwa shaba 2kio la ujambaz mlandege godauni akiwemo kaka'ke alikua anaitwa ayat.umaarufu wake mkubwa ulitokana na kupgwa shaba mkononi ktk ugomv na mzungu.pia mkigana ukampga jua kila mkutanapo lazma alianzishe tena.