bht aksante kwa taarifa hizi- ni mwaka gani hiyo sociology? Huwenda nikawa namfahamu.
Uandishi wa habari alisomea wapi? mwaka?
OK aksante bht.2006
nijuavyo mimi hata wakati huo anatangaza hakuwa amefanya kozi za uandishi wa habari (mafunzo kazini inahusu hapo) labda baada ya chuo alijiunga kupata certificate in one of our colleges na pia sometimes last year alipokwenda Marekani nadhani kwa mafunzo na aliporudi ndo akajiunga na TBC1!!!
mmmhnimesoma naye kozi tofauti chuo kikuu, ni rafiki yangu
yeye alisoma 'sociology'
a very determined young person, he had a dream and he wanted to live it (baada ya kupitia rapsha kadhaa za maisha ya kifamilia)
amefanya kazi za utangazaji tangu tukiwa chuoni (alisoma na kufanya kazi part time), ATN, PRT (WAKATI HUO), ITV na saa TBC!!!
OK aksante bht.
Bila kusahau ni mtu wa usalama wa taifa!
sijui kwa nini muda wote huu watu akili ilikuwa haijaclick hapa.Bila kusahau ni mtu wa usalama wa taifa!
mmmh
sijui kwa nini muda wote huu watu akili ilikuwa haijaclick hapa.
Mimi nimekuja kumfahamu baada ya vipindi vyake vya kuanika uozo wa Jeshi la Polisi (Traffick) kudai na kupokea rushwa hadharani. May be is paying the cost for that (but I just guess)
Jerry Muro ni kijana mjasiri sana na ni mkakamavu haogopi mtu namfananisha kwa Tiddo Mhando[/Q
Pamoja na hayo ni mpenda sifa sanaaaaa,namkumbuka askari polisi alijulikana kwa jina la MKAMA SHAPU alikuwa akiingia uwanjani wakati wa mpira anabeba pistol,rungu la polisi,pingu,fimbo ya kawaida na kipaza sauti naye JM si mchezo pistol,pingu na makamera.
Hamna issue nyingine!? Muro Muro!!
sijui kwa nini muda wote huu watu akili ilikuwa haijaclick hapa.
Inawezekana kabisaa
Kauli zake kadhaa (''Kova ni mtu mdogo sana.....'', Kova si jeshi la polisi yule....'',...nina vitu hii mwaka wa nne sasa..aulize nimevipataje''..etc) zimepelekea watu waamini hilo.
Hata kama ni mtu wa system kweli, nadhani boss wake atamwita aseme nae neno, alitaka kuvuka mipaka
Naona Muro anachukua nafasi ya Zitto sasa,maana kuna kipindi ilikuwa kila ukiamka wakutana na thread ya Zitto,leo hii kila wakati ni 'masredi' tu ya Muro,inakera
hii nchi bwana akijitokeza mtu akemee maovu shida!!! hebu tuachane na mengine tuongee ukweli mdogo.....
Ni waandishi wangapi nawaweza kufanya aliofanya Muro hata kama anamachafu yake.. HE DARED!!!!! tuongelee juhudi za mtu ...tuko hapa kwa sbb ya kupinga rushwa, nani hajui hawa wakubwa wamekithiri kwa rushwa mpaka hawaoni tofauti tena????SHAME!!!
nani hajui MKAPA, LOWASA na kuendlea niwala rushwa wakubwa walio haribu hii nchi????
nani hajui jeshi letu ni la wakihuni tuu na ni wabambikaji wa kesi?????
angalieni michuzi Kova kawakamata waliotaka 'kumpa' rushwa Jerry kwa kosa la kuwa matapeli sugu lini tena wamekuwa masugu????
KOVA u need to be serious now acha mambo ya kitoto!!!!