Ni Nani Jerry Muro?

Huyu si usalama wa Taifa huyu ni mwandishi kama alivyo wengine. Mimi mwanangu alisoma nae na anamjua tokea anatangaza TBC mpaka ITV na sasa TBC1. ni mtoto mkarimu anayependa majivuno si unawajua wa Kibosho hao..
..Kwelii Eeh! Majivuno ni wakibosho au ni tabia ya mtu binafsi??...Too low!!
 
..Kwelii Eeh! Majivuno ni wakibosho au ni tabia ya mtu binafsi??...Too low!!

mmmh mengine mezea tu Laligeni!!!!!!!!!! ila sioni uhusiano hapo ni mtazamo wake duni!!!!!!!!
 
Hii ishu inaonekana ni ya kuwapatia umaarufu tu baadhi ya watu, haina maslahi.
 
Hii ishu inaonekana ni ya kuwapatia umaarufu tu baadhi ya watu, haina maslahi.

labda wamsaidie Wage apate umaarufu maana Kova na Jerry si tunawafahamu tayari!!
 
Jana nilipokuwa nakatiza mitaa fulani nilisikia watu wakiongelea suala la Jerry. Wengine walisema huyu jamaa anawezekana kuwa ni shushushu (afisa usalama wa taifa). Sababu inayopelekea wao kusema hivyo ni ile kukutwa na pingu na bastola.

Walisema bastola inaweza milikiwa na mtu wa kawaida lakini pingu mmmh hapo kuna kitu! 'Jerry ni zaidi ya uandishi wa habari!' Pia ujasiri alionao katika upambanaji kiasi cha kusema "Kova is a very minor person"...hizo nguvu anazitoa wapi? Mwandishi tu wa kawaida anaweza kuwa na jeuri kama hiyo?

Jamaa hao waliendelea kusema kwamba sababu nyingine ni pale Kova aliposema kwamba hii kesi haitopelekwa mahakamani mpaka ipitishwe kwanza kwa mwanasheria mkuu wa serikali ili aone kama kuna ulazima wa kuipeleka hii kitu mahakamani!

***Nimeleta kwenu jamvini...where we dare to talk openly....Mnasemaje?
 
Hivi kukutwa na pingu, na kuomba rushwa, ni lazima mwanasheria mkuu!!!?? mbona naanza kuweweseka, na inakuwaje kova alilazimika kusoma kitabu cha sheria wakati anaongea na waandishi wa habari wakati sio kawaida yake? anaogopa nini hasa?
 
This Muro thing is too boring sasa..Kila ukiamka Muro Muro,kwa nini tusiweke posts zetu kwenye Sredi zilizopo zinazomhuzu Jerry Muro badala ya kila wakati kuibuka na Sredi mpya inayomhusu Muro???..Inakera bana
 
aisee, wakati mwngne humu vitu vinaenda shoti shoti balaa...yukkkhhh
 
JERRY Muro siyo afisa wa usalama wa taifa.Nimedokezwa kuwa kuna mtu katika familia ya akina Muro ni mtu mzito katika usalama wa taifa,niny subirini muone.
 
halafu hii kitu nimeisoma kwenye thread fulani ya huyo huyo muro, kwanini acfanye kuulizia juu kwa juu...boring.

This Muro thing is too boring sasa..Kila ukiamka Muro Muro,kwa nini tusiweke posts zetu kwenye Sredi zilizopo zinazomhuzu Jerry Muro badala ya kila wakati kuibuka na Sredi mpya inayomhusu Muro???..Inakera bana

aisee, wakati mwngne humu vitu vinaenda shoti shoti balaa...yukkkhhh

barbie umeona alichoandika B HAPO KATI ........mie juzi nilirudi home shingo inauma, the forum was full of Muros nakwambia!!!!
 
JERRY Muro siyo afisa wa usalama wa taifa.Nimedokezwa kuwa kuna mtu katika familia ya akina Muro ni mtu mzito katika usalama wa taifa,niny subirini muone.

Wakuu,

mie nashangazwa sana na hii kitu USALAMA WA TAIFA,kwani hii nini mpaka kila kitu kiwe kinaonekana hatari au cha kujivunia?
kama yeye ndio afisa au ndugu yake basi ngoja tujue alifanya kosa au la alafu tutajua hii USALAMA WA TAIFA INAINGIAJE HAPA
 
This Muro thing is too boring sasa..Kila ukiamka Muro Muro,kwa nini tusiweke posts zetu kwenye Sredi zilizopo zinazomhuzu Jerry Muro badala ya kila wakati kuibuka na Sredi mpya inayomhusu Muro???..Inakera bana
Mkuu,
tumia akili yako wakati mwingine! Unadhani hii kitu ya ushushushu ikiwekwa kama comment katika thread ambayo teyari ina kurasa nyingi (let say 5) kisha ikawa ni comment katika page ya 3 hivi utaiona kweli? Utaisoma kweli? Ni watu wangapi humu huwa wanapitia comment/replies zote kuanzia ukurasa wa kwanza mpaka wa mwisho? Kama umeboreka na issue ya Muro basi achana nazo! Mbona kuna thread nyingi tu humu jamvini za kutembelea? Kama vipi basi ngoja niwaombe mods waitie kapuni hii thread. Naomba unisamehe mkuu...sikukusudia kukukwaza!

Sasa ndo umesusa,wenzio twala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…