Ni Nani Jerry Muro?



wewe leo vipi? kwema kaka.
 
Sijasusa ila kama hii thread inawaudhi watu fulani fulani (wapambe wa Jerry Muro) basi na itiwe kapuni!

sidhani kama ni upambe!!! just recall tume appreciate ngapi za Muro ulizoweka hapa but these Muroz frankly are becoming too much and too much of anything is harmful dear Pape!!!!!!!
 

Dah!!,Haya bana(sijui natumia nini sasa kama situmii akili),hakuna aliyekuzuia kuweka comments zako bali nimeshauri tu kwamba kama vp si bora kuziunganisha habari zote tu zinazohusiana na Muro badala ya kila uchao watu kuja na Sredi zinazmhusu Muro(kwangu mimi hii ndo itawapa watu nafasi ya kusoma michango yote sehemu moja badala ya kuwawekea maSredi meeeeengi kiasi cha kuwachanganya wasome Sredi ipi na waiache ipi)..Pamoja mkuu
 

SM usishangae ya Musa na ya Firauni yanakuja baba!!!!!!!!!!!!!
 
sidhani kama ni upambe!!! just recall tume appreciate ngapi za Muro ulizoweka hapa but these Muroz frankly are becoming too much and too much of anything is harmful dear Pape!!!!!!!
sawa!

hivi unazungumzia thread za Pape tuuuuu? au na za wengine?
 
Kama ni mtumishi wao sina sababu ya kushangaa mambo ya nchi yanvyoenda hivi sasa;

inteligensia inakuwa na watu wa namna hiyo;Hell NO unless usalama wa wanaoichukia Rushwa
 
sawa!

hivi unazungumzia thread za Pape tuuuuu? au na za wengine?

hapa issue sio Pape ni Muro my dear!!!!!!!!!!!!! who posts the thread about Muro is irrelevant. tunadhani ni busara badala ya kusambaza mawazo ya watu kwa kuweka nyuzi ambazo zingeunganishwa na kusaidi awatu kutoa michango useful na kuwa focused zaid kuliko hili linaloendelea sasa!!!!!!

subiri kuna mtu atakuja na ingine akiuliza kabila la Muro........
 
haya, kwahiyo wewe unasemaje? nini kifanyike?
 
Hebu ngoja tupumzike kidogo na hii issue raia wema
 
hadithi za mtaani hizo nenda katika maduka ya silaha utakuta wanauza na pingu
 
Hamna issue nyingine!? Muro Muro!!

Hiyo ndiyo Bongo bwana, hawana ishu nyingine! Ni kama kipindi kile Asha Rose Migiro alipoteuliwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Basi ikawa hakuna habari nyingine, ni Asha Rose Migiro tu, wiki nzima....Iliniboa sana!

Waandishi wa Bongo badilikeni!
 
hahaaaaaaa u are tired huh!!! njoo kule kwenyemabo ya rilijeni basi na wewe???!!!
hii issue ya Jerry Muro kwamba ni shushushu haina maana tena! imeunganishwa huku na haionekani tena! Ukifungua hii thread inasema ni nani Jerry Muro? na maelezo ya juu pale mwanzoni mwa thread hayaelezei hali ya ushushushu! Naona hata jf inamtetea Jerry! Sawa, mambo kama haya bongo walahi hayataisha! bongo kweli tambarare...haya twendeni kibongobongo!
 

pape am sorry!!! am not siding any one here!!! hata proffession yangu hainiruhusu kufanya hivyo.

i was simply giving my opinion on the issue of having so many threads about JM, unnecessarily!!!!!

sorry once again kama nimekukwaza ila hiyo hainizui kueleza mawazo yangu!!!!
 
Don't give people trust until they give you a reason to trust them
 
Are you sure! Mbona tunaswaga maneno tu kwa sababu tu ya kuswaga maneno.Mbona hgatujipangi vyema kufahamun ukweli? Historia ina majibu mengi ya Muro hatuna haja ya kumjadili.Tuone yenye mantiki duniani
 
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜±
 
he is such a young dedicated guy againsta rampat corrupt and misconduct!
he longs to see the world a better place for people to live in.. nimesoma naye UDSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…