Sakata la Muro huwezi kulitenganisha na siasa kwa sababu yule anayemtuhumu kudai hongo analindwa na wanasiasa fulani ndio maana kafanikisha kujilimbukizia mali nyingi na kupewa nafasi nyingi za uhamisho na kupewa nafasi ya kulichukua jengo la CCM morogoro Mjini nakulifanya moja ya mahoteli yake.
naskia kabaya kwa wake za watu..
sa sijui wanajipeleka au kanawatafuta.........................
hii mupya
naskia kabaya kwa wake za watu..
sa sijui wanajipeleka au kanawatafuta
...umetoka jela ama umeme umepiga shoti kichwani!Jerry Muro ni kijana mchapa kazi.
jamani wanadamu kwa kukatisha tamaa kijana wa watu ndo ameanza harakati zake you neva know atafikia wapi lakini ndo hivo tena wakubwa wanataka kumfumba mdomo ...
Nimebadilishia gia angani na wewe umetoka wapi kwenye huu uzi wa 2010 hahahaha...umetoka jela ama umeme umepiga shoti kichwani!
..thread ya 2010 unacomment leo...,ili..??
Mkuu hapo tayari ushaanza kudokeza moja ya CV zakeBora ungeomba CV Albert Bashite kuliko hilo jizi.
Asante sana mkuu Pascal MayallaJerry ni msomi wa chuo kikuu cha DSM kiwango cha shahada ya uzamili na sasa anafanya uzamivu, pia ana astashahada ya uandishi wa habari na stashahada ya utangazaji.
Kwa kifupi ana
P.
- Astashahada
- Stashahada
- Shahada
- Shahada ya Uzamili
- Shahada ya Uzamivu.
Aliwahi kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za uhalifu, angalizo, kushinda kesi si lazima kwamba haukufanya uhalifu, bali ni ujanja wa kujitetea.Huyu kijana ametokea kuwa ni msemaji na mpongezaji mkubwa wa mambo yanayotokea chini ya mwavuri wa lumumba. Liwe baya anapongeza liwe zuri anasifia,pls tunaomba mwenye CV yake tumjue vema.