Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna mchezaji alioga matusi na kejeli Yanga baada ya kusajiliwa ni Lomalissa. Balaa! Sema keshawaprove wrong!!! I hope hata matusi anayooga Aziz Ki yatakuja kuwageuka watu siku si nyingiYule lomalisa ni fundi aisee ,tuache masikhara kabisa
Kocha anataka kuwaonea tu hao jamaa
Kwa nini DRC hawamuiti?Yule lomalisa ni fundi aisee ,tuache masikhara kabisa
Kocha anataka kuwaonea tu hao jamaa
Kwa nini DRC hawamuiti?
kwanini onyango kenya hajaitwa?Kwa nini DRC hawamuiti?
Hapo sasaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu anayecheza kwenye michuano ya WALIOSHINDWA ana jambo lolote la kuwatambia wanaocheza Champions League? Tena wanaoenda kucheza robo fainali mara ya 3?
mtegeshee akumwagie uoneKwa nini lomalisa wanamuita mzee wa kumwaga maji?
Anaweza kweli kuyamwaga?
Wanamuita waziri wa maji😃😃Kwa nini lomalisa wanamuita mzee wa kumwaga maji?
Anaweza kweli kuyamwaga?
Jamaa sasa kaimarika vibaya mno hata sikutegemea na confidence yake ipo juu.Kama kuna mchezaji alioga matusi na kejeli Yanga baada ya kusajiliwa ni Lomalissa. Balaa! Sema keshawaprove wrong!!! I hope hata matusi anayooga Aziz Ki yatakuja kuwageuka watu siku si nyingi
Lini sasa tunaenda mwisho wa msimu ujuee..Kama kuna mchezaji alioga matusi na kejeli Yanga baada ya kusajiliwa ni Lomalissa. Balaa! Sema keshawaprove wrong!!! I hope hata matusi anayooga Aziz Ki yatakuja kuwageuka watu siku si nyingi
Kustaafu bado sana, nikiwa hai nitashuhudia zaidi ya marais watatu tofauti wa bongo wanaomaliza kikamilifu mihula miwili ya miaka mitano mitano (kumi jumla kila mmoja) kabla sijastaafukwanini onyango kenya hajaitwa?
tangu ustaafu umekuwa kama umewehuka wewe lizee