Ni nani Lomalisa Mutambala kati yenu?

Kwa hiyo kama hao wawili ambao hawachezi timu moja wanalinganishwa, sasa je Kibwana, tuseme alipendelewa sana kuitwa Stars?
 
huwa anatuliza boli mara moja tu afu ukija unakula tobo anatembea zake
yule kijamaa aliyekomaa kama mninga kule kwa juma bonge sasa, anavimba mashavu
 
Mtu anayecheza kwenye michuano ya WALIOSHINDWA ana jambo lolote la kuwatambia wanaocheza Champions League? Tena wanaoenda kucheza robo fainali mara ya 3?
 
TFF sisi Young Africans tunaomba mechi za ligi tuwe tunakutana na simba mara sita, ikiwezekana hata kabla ya msimu huu haujaisha na pasitokee watu wakakataa kuleta timu.
 
Kama kuna mchezaji alioga matusi na kejeli Yanga baada ya kusajiliwa ni Lomalissa. Balaa! Sema keshawaprove wrong!!! I hope hata matusi anayooga Aziz Ki yatakuja kuwageuka watu siku si nyingi
Jamaa sasa kaimarika vibaya mno hata sikutegemea na confidence yake ipo juu.

#TrustTheProcess
 
Kama kuna mchezaji alioga matusi na kejeli Yanga baada ya kusajiliwa ni Lomalissa. Balaa! Sema keshawaprove wrong!!! I hope hata matusi anayooga Aziz Ki yatakuja kuwageuka watu siku si nyingi
Lini sasa tunaenda mwisho wa msimu ujuee..
 
kwanini onyango kenya hajaitwa?
tangu ustaafu umekuwa kama umewehuka wewe lizee
Kustaafu bado sana, nikiwa hai nitashuhudia zaidi ya marais watatu tofauti wa bongo wanaomaliza kikamilifu mihula miwili ya miaka mitano mitano (kumi jumla kila mmoja) kabla sijastaafu
 
Watanzania kwa ujinga Africa mashariki hakuna mabeki wa kuwazidi kapombe na tshabalala ukiondoa ujinga wa watanzania hata hyo mdaka mishale ni ujinga kumlinganisha na manula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…