Hakuna mtu alikua akipinga SGR SGR yetu kama wewe ulikua unapinga sana tu mpaka ukasema tukitandika reli kilomita moja utatembea uchi, lakini saivi ni aibu tupu imekujaaNchi yetu ni failed at $88billion GDP...taja GDP ya passed state Tanzagiza nicheke kiasi.
Anyway si hiyo Egypt ni ile ile inataka kuanzisha vita na Nchi za great lakes juu ya R. Nile? Sasa mshakuwa collaborators wa neocolonialism kwaa kuwasaliti wenzenu?
Dam yenyewe hata kama itajengwa si hivi sasa ni miaka kama 20 hivi or even never. nimekuuliza mnawauzia Nani umeme Hio wenu wa 1350MW kama hata Dar umeme ni wa mgao?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hupo Kenya hipi wewe!! Ww jamaa huwa una porojo sana au unataka tuingie twitter tukuletee wakenya wanaosema ukweli. Kadoda njoo ufanye yako mzee baba [emoji1]Hata mimi nilikua nashangaa kwanini umeme siku hizi haukatiki, yaani napiga kazi tu mbele kwa mbele.
Kupanga bajeti kubwa haina maana yoyote kama hakuna kinachoonekana on the ground, huu ndio ugonjwa wenu kuonyesha kwamba mpo na pesa nyingi wakati 50% ya hizo pesa zinaishia mifukoni mwa politicians, vipi muwe na bajeti kubwa ya elimu lakini mshindwe kutekeleza "Laptop per child?".Wakati Sisi huchukua mikopo directly for specific projects... E.g SGR....
Tanzania na JPM wenu anajipiga kifua kila siku anajenga Kwa cash kumbe no mikopo..... E.g data za BoT zinaonyesha External borrowing ya GoT 2017 ilikua ni $1.9B right around the same time mulianza kujenga SGR.... Jan2018 serekali ya Tz ikapokea mkopo wa $200m right around the same time mkaanza kupokea ndege....
Wakati Sisi huku Kenya mikopo unaenda directly Kwa account za project huko Tz mikopo unaenda Kwa account ya serekali alafu watu waambiwa 'tunajenga Kwa pesa zetu!'
On the other hand, Kenya licha ya kua na population ndogo inapanga kuongeza bajeti ya elimu 2019 Hadi $4Billion !!! Wakati Tz bado bajeti ya elimu hata haifiki $1B tena $300m ilikua itolewe na World Bank ambao wameweka masharti Yao ndo iwapatie huo Masaada.
Green field terminal..
Galana Irrigation project
Mumia sugar company
Crude oil pipeline
BRT
Electrification of old model diesel SGR
Lamu port
5 big stadia
Laptop per child
Mombasa Nairobi super high way
Hongera sana GoK kwa kukamilisha ahadi zenu.
Elezea sisi mkopo wenu wa $2 billion ulikuwa wa kufanyia nini? Passed State. Vile vile weka project yeyote ambayo iko complete and working kama Kweli ipo.Nimekuambia wewe ni kichaa, sisi tunawapa kazi our fellow Africans, kumbuka Egypt ilishiriki kikamilifu katika mapambano ya ukombozi kusini mwa Afrika, wakati ninyi Kenya mlikua mbashirikiana na wazungu, Egypt is a more African than Kenya.
GDP wa kwenye makaratasi nothing to show on the group. Tanzania tunajenga SGR kwa $3.2B, na tunajenga Rufiji hydroelectric dam kwa $2.9B, tumenunua ndege kwa $600M, total $6.7B, kwa pesa yetu wenyewe. Nionyeshe project moja yenye thamani ya only $1B mnayotumia pesa ya ndani. Zaidi ya kuimba GDP, nini zaidi mnaweza kuonyesha hiyo GDP imefanya?. Failed state.
Kweli kabisa mkuu JPM yuko in another level of peddling lies and propaganda... hapo sitabisha.Hakuna mtu alikua akipinga SGR SGR yetu kama wewe ulikua unapinga sana tu mpaka ukasema tukitandika reli kilomita moja utatembea uchi, lakini saivi ni aibu tupu imekujaa
JPM is another level
Soma post yangu #43. BRT is completed, Nyerere/ Kigamboni bridge is completed, gas pipeline from Mtwara to Dar is complete.Elezea sisi mkopo wenu wa $2 billion ulikuwa wa kufanyia nini? Passed State. Vile vile weka project yeyote ambayo iko complete and working kama Kweli ipo.
Sisi hukopa na kukubali bila kuyumbayumba. Je SGR yenu imefika wapi na inetumia pesa ngapi za ndani na usisahau kuna video ya mbunge wenu ndani ya bunge in National TV.Soma post yangu #43. BRT is completed, Nyerere/ Kigamboni bridge is completed, gas pipeline from Mtwara to Dar is complete.
Onyesha ni project gani yenye thamani ya $1B au zaidi ambayo inatekekezwa kwa pesa yenu ya ndani. Onyesha ni project gani kwenu ipo completed. Jibu maswali Tafadhali.
Nimekuambia niambie ni project gani yenye thamani ya $1B au zaidi inayotekelezwa na GoK, sisi tunatekeleza projects zenye thamani ya $6.7B, naomba ujibu hili swali kwanza, then nitakujibu maswali yako.Sisi hukopa na kukubali bila kuyumbayumba. Je SGR yenu imefika wapi na inetumia pesa ngapi za ndani na usisahau kuna video ya mbunge wenu ndani ya bunge in National TV.
Joto la Jiwe Wacha nikuulize swali mboga kabisa... Je Tanzania mnaweza afford drones?
Sisi hatuna kubwa kama yenu sis bado maskini. Je Tanzania INA drones?Nimekuambia niambie ni project gani yenye thamani ya $1B au zaidi inayotekelezwa na GoK, sisi tunatekeleza projects zenye thamani ya $6.7B, naomba ujibu hili swali kwanza, then nitakujibu maswali yako.
Drone ziko za aina nyingi sana, kuanzia civilians, military na for special missions. Wewe unazungumzia Drones zipi?, kumbuka kwamba ni Tanzania na Rwanda pekee zenye kutumia drones kusafirisha dawa na damu vijijini kwa ajili ya kusave lives.Sisi hatuna kubwa kama yenu sis bado maskini. Je Tanzania INA drones?
Sawa basi sasa tuwekee drone pictures za 47% SGR. Ni hayo tu all it never happened.Drone ziko za aina nyingi sana, kuanzia civilians, military na for special missions. Wewe unazungumzia Drones zipi?, kumbuka kwamba ni Tanzania na Rwanda pekee zenye kutumia drones kusafirisha dawa na damu vijijini kwa ajili ya kusave lives.
Hiyo $1.9B niliyo ongelea ilikua ni external debt, bado hatujaongelea Domestic debt ya serekali.....Kupanga bajeti kubwa haina maana yoyote kama hakuna kinachoonekana on the ground, huu ndio ugonjwa wenu kuonyesha kwamba mpo na pesa nyingi wakati 50% ya hizo pesa zinaishia mifukoni mwa politicians, vipi muwe na bajeti kubwa ya elimu lakini mshindwe kutekeleza "Laptop per child?".
Tumekopa na tutaendelea kukopa kwa ajili ya miradi mingi ya maendeleo, lakini tunajitahidi sana kutumia pesa ya ndani hasa katika miradi inayohitaji pesa nyingi ambazo zinaongeza deni la Taifa na kuhatarisha Uhuru wa nchi yetu.
Hiyo pesa uliyosema tumekopa, yote inafanya kazi za maendeleo
1)Upanuzi wa Dar port $350M
2)Upanuzi wa Tanga & Mtwara ports $230M
3) Second phase BRT $160M
4)Uboreshaji wa miundombinu ya Dar $300M
5)Ujenzi wa Ubongo interchange $90M
6)Ujenzi wa Daraja la Salender $400M
Sasa linganisha, tumekopa $1.9B, lakini tumetumia $6.7B pesa yetu ya ndani kujenga SGR, Rufiji hydroelectric dam na ununuzi wa ndege, kama tungekopa jumla ya deni lingekua $7.6B.
Kuhusu pesa kuingia katika county level, hiyo ni miongoni mwa failures ya serikali yenu, research zinaonyesha kwamba pesa nyingi inayopelekwa ktk counties inatumiwa vibaya kuliko iliyopo central government.
Project zengine ambazo umetaja hazijaanza na nyengine ambazo zimeanza pia hazijalipiwa zote kwa mpigo kwahivyo hio mikopo imetumika kwa project nyingi zaidi ya hizo ulizotaja......And now, Dar has announced setting aside over $610 million in the 2018/19 budget for the construction of the 300km SGR between Dar and Morogoro; and the 336km Morogoro-Makutopora line.
This is significantly higher than the $392.23 million set aside in the current financial year.
Transport and works Minister Makame Mbarawa told parliament that an additional $435,821 had been set aside for a feasibility study into the proposed 371-kilometre SGR project linking Isaka and Rusumo in Rwanda.
Tanzania turns to World Bank to fund its SGR
Wewe unatapatapa baada ya kuona Tanzania inatumia pesa yake katika miradi mikubwa jambo ambalo Kenya imeshindwa, zaidi ya kupiga kelele za GDPHiyo $1.9B niliyo ongelea ilikua ni external debt, bado hatujaongelea Domestic debt ya serekali.....
Nimeitafuta hiyo ripoti ya BoT ili tuongelee hali halisi....
View attachment 969626
View attachment 969627
Kwahivyo kuanzia Jan 2017 hadi Jan 2018 serekali kuu ya Tz ilipokea 78.8% of $2.056Billion of external debt ambayo ni approximately $1.5B external debt.
Kati ya Dec 2017 na Jan 2018 mlipokea $67.7 Million dollars, Hatujui zilitumika kufanya nini lakini top of my head najua Bombadier moja inauzwa $32million..... kwahivyo for $67Million unaeza ukapata Q400 mbili + customisation + Pilot training + fuel cost ya kuisafirisha kutoka canada hadi Tz.. ... hilo ni wazo tu... just saying
Ikija Kwa Domestic Debt,
View attachment 969634
View attachment 969632
Ukijumuisha monthly Domestic Debt kuanzia Feb 2017 hadi Jan 2018 ambayo inaonyeshwa on top of each bar inakua 7.3 Trillion TZS ambayo kama hesabu zangu ziko sawa 7.3 Trillion TZS ni kama $3.2 Billion USD.
Kwahivyo hapo mkujumuisha external + Internal debt ni kama $4.7B for 2017... Alafu ukumbuke si miradi yote hulipiwa pesa zote kwa mpigo, kwa mfano nakumbuka Ujenzi wa SGR-TZ ulipoanza mlilipa $500m alafu mkangoja next financial year ndo mkalipa $500m...etc,
Project zengine ambazo umetaja hazijaanza na nyengine ambazo zimeanza pia hazijalipiwa zote kwa mpigo kwahivyo hio mikopo imetumika kwa project nyingi zaidi ya hizo ulizotaja......
( Kenya inaongoza kwa WB Logistics Performance Index kwahivyo hakuna vile utaniambia hakuna kinacho onekana on the ground huku Kenya. )
Mimi siko hapa kuwakosoa kuchukua mikopo wala kuingilia/kukagua miradi yenu kwahivyo sitajisumbua kutoa list ya miradi mikubwa inayofanyika kenya. Ninacho jaribu kusema ni kwamba wajinga pekee ndo wanaeza kudanganywa na Propaganda za CCM kua miradi yao yote mikubwa inalipiwa kwa cash na pesa za serekali wakati serekali inapokea mikopo mikubwa kila siku, na hata kama hiyo miradi inalipiwa na cash pesa za walipa kodi watanzania, hiyo mikopo inatumika kujaza pengo lilioachwa na pesa zilizotumika kwa hio miradi kwahivyo nikama serekali inacheza mchezo wa karata wa pata potea ...
Hayo mambo ya picha sio eneo langu, wasiliana na NDINDA ndiyo mtaalamu maeneo hayo, Mimi ni hoja tu.Sawa basi sasa tuwekee drone pictures za 47% SGR. Ni hayo tu all it never happened.
Jibu swali kaka wacha kukimbiaKhee wakenya na akili zao,shame..
Rufiji mpende msipende ni 10 to 15 years , hakuna kitu siajabu usiishe, na nakwambia half ya watu humu watakuwa wamekufa, na deni kulipwa na watoto zaoEthiopia inajenga mradi mkubwa sana wa umeme wa maji kuanzia 2011 wakitegemea kuukamilisha 2017 lakini mpaka saivi bado haujaisha and for the latest information is, it won't be possible to launch the project any sooner as projected earlier, in fact wameongeza tena more 4 additional years for the project to be done.
Hii ni Grand Ethiopian Renaissance Hydropower Project which faced lots of controversial issues like assassination of the project manager, prolonged workers strikes na kusuasua kwa namna nyingi
of course watu tunaona mbali hatushangai sana jinsi Mradi wetu wa stieglers ulivyopata vipingamizi kuanzia kwa Baba wa Taifa mpaka leo 40+ years atimae chuma kimeingia, sio kazi rahisi Je kusuasua kwa Ethiopian Great Renaissance ndio neema kwa Tanzania kwa soko nono la umeme Africa mashariki na kusini?
How Eastern Africa looked at Great Ethiopian before the coming of The Rufiji Hydroelectric Project?
The revelation that the project could take longer to complete has ignited concerns among eastern Africa countries that have signed memoranda of understanding with Ethiopia for electricity purchase.
Kenya and Tanzania are among countries that have signed MoUs with Ethiopia to import 400MW each. Others are Djibouti which intends to import 60MW, and Sudan which is already importing 200MW.
The country was planning to increase it to 300MW this year and 1,000 MW over the next five years.
Ethiopia, which was expecting to earn $500 million from power exports by 2020, has also been negotiating electricity purchase deals with Burundi, Rwanda, South Sudan, Uganda and Yemen. Last year the nation made $73.4 million from electricity exports.
The country has been banking on the completion of the dam to meet the electricity demand.
Already, the region has invested heavily in power transmission facilities.
Total supply of electricity in EAC
Kenya 1600+ megawatts
Tanzania 1500+ megawatts
Uganda 900+ megawatts
Rwanda 200+ megawatts
Burundi 100+ megawatts
So far in Tanzania the big projects under the pipeline are Kinyerezi expansion phases with the capacity of more than 3000+ megawatts [on progression], mchuchuma and liganga coal project 3000+ megawatts [on the final stage of deal sealing], solar power 150+ megawatts [biding final stages] Rusumo Hydropower 10+ megawatts [2019 commissioning], wind power 200+ megawatts [ final construction stages] and so forth
Je Tanzania itakua donor country kwenye umeme wa nchi za Africa ya Mashariki na kusini?
View attachment 968480
Rufiji Hydroelectric Project
Hahhahaha yaani manufacturers wahamishie viwanda tanzania au ethiopia . Kwa incentive gani?Gharama za uzalishaji wa UMEME kwa kila KWhr kutoka katika vyanzo mbalimbali vya UMEME, hizi ni wastani duniani kote, hazitofautiana Sana.
1)Diesel generator $0.2
2)Geothermal $0.05
3)Wind/Solar $0.04
4)Hydroelectric $0.0016
Geothermal source, is four times expensive than hydro electricity. Hakuna sababu zozote zile za kiuchumi kwa Kenya kuacha kununua UMEME wa maji toka Tanzania na Ethiopia, mkuendelea kutumia umeme wa Geothermal, bidhaa zenu zitaendelea kuwa ghali sana. Manufacturers wengi watafunga viwanda vyao na kuhamishia Tanzania au Ethiopia.
Hahahaa... naona nimekukurupua kutoka kwenya kibanda chako hapo Kibera ata mswaki hujapiga [emoji1] . Ilibidi iwe 10,000 MW by that time Ken Power itakua inunua umeme wa bei chee toka Tz na Ethiopia.