Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,396
- 4,080
Wadau Nawasalimu ktk kusikiliza TBC Leo nimemkumbuka Mtangazaji Mashuhuri wa Kipindi cha Michezo kilichokuwa kinarushwa na RTD siku hizi TBC kila siku saa 1.45 jioni.
Mtangazaji Wa Kipindi hiki alikuwa Bw.Abdul Masoud na ambaye pia alikuwa Katibu Mwenezi wa Klabu ya YANGA. Mtangazaji huyu inasemekana ALIUAWA nyumbani kwake mbele ya Familia yake na Wauaji hawakuchukua kitu wala Fedha zozote lakini SIJAWAHI kusikia kama WAUAJI walikamatwa na Kuhukumiwa je ni Kweli WAUAJI HAWAKUWAHI KUKAMATWA?
Mwenye Taarifa atujuze ili MAMBO ya Historia yake vema kwa VIZAZI vyetu.