Kule walikopelekewa hawajui kumuomba Allah?Mkuu usijidanganye kama waliwezekana WaLibya na good life yao wanashindwaje nchi zetu hizi za pangu pakavu ni jambo la kumuomba Allah anusuru tu wasituletee hayo Mapropaganda
Kwa taarifa yako Saudi Arabia haina habari na mtu mwingine ye yote duniani, wao wako chini ya nyayo za Wamarekani tu wameufyata. Kwa hivyo usiwazushie.Hawa washenzi wanasapotiwa na serikali ya Saudi Arabia
Hivi kama mpaka nyinyi mumewafahamu unaona Serikali itawaachia tu? Wacheni kuzushia watu jamani.Kukusaidia tu iko hivi baada ya uonevu na kusahaulika kwa Gabo del Gado kwa mda mrefu Sana katika msumbiji hatimae gas ili vumbuliwa
Wakazi wa Gabo del Gado wakataka serikali isiwatambue na iendelee kuwasahau Kama ilivyokuwa mwanzo
Vijana wakajikusanya kupinga baadae wakaja watu wakaingiza udini ndio kikawa hiki unachokiona
Wanaofadhili ,jeshi la msumbiji liliwahi kusema kuwa Kuna watu wanne wawili ni wamozambique na wawili wanaishi Dar es salam Tanzania jiongeze
Umoja wa mataifa hujihusishi kwakuwa bado USA na uingereza hazina maslahi ya moja kwa moja na ukumbuke Mozambique ni Portuguese fone kwahiyo mwenye ushawishi ni ureno ambae hawezi push chochote Un
Sio Mimi ni ripoti za jeshi la Mozambique zilitoka miezi kadhaa iliopitaHivi kama mpaka nyinyi mumewafahamu unaona Serikali itawaachia tu? Wacheni kuzushia watu jamani.
Tuone hiyo ripoti mkuuSio Mimi ni ripoti za jeshi la Mozambique zilitoka miezi kadhaa iliopita
Muumba hupeleka madhara sehemu aitakayo na huiondoa kwa waumini wake wakithirishapo kumuomba kwa hiyo jibu la swali lako mwenye enzi mungu ndio anajua kwa nini wamepelekewa propagandaKule walikopelekewa hawajui kumuomba Allah?
Siwazushii kwani hata Wamarekani wanajuwa hivyoKwa taarifa yako Saudi Arabia haina habari na mtu mwingine ye yote duniani, wao wako chini ya nyayo za Wamarekani tu wameufyata. Kwa hivyo usiwazushie.
Umenena vyema Mkuu🙏🙏Mkuu usijidanganye kama waliwezekana WaLibya na good life yao wanashindwaje nchi zetu hizi za pangu pakavu ni jambo la kumuomba Allah anusuru tu wasituletee hayo Mapropaganda