Ni ndoto gani uliyowaiota ambayo huwezi kuisahau

Dah!. Labda ndoto hii itatimia,

Niliota numemuoa mtoto wa Obama. It was so nice. Nilitamani nisingenyanyuka baada ya kujua ni ndoto.
 
Mimi nahisi bado nipo ndotoni hivi ni kweli raisi ni magufuli Tanzania ?? Mana ninayo yaota yanatisha kuusu uongozi wake eti mimeota kala lambilambi za watu wa kagera na anasema amewasamehe watu kwa kuchagua upinzani. I think I am dreaming
 
Dah!. Labda ndoto hii itatimia,

Niliota numemuoa mtoto wa Obama. It was so nice. Nilitamani nisingenyanyuka baada ya kujua ni ndoto.
Naona hukutaka ku-come back to reality baada ya hiyo ndoto...

Ila huwezi jua mkuu, si bado hawajaolewa, so your dream might come true...you never know, life is full of surprises!
 
Mimi nahisi bado nipo ndotoni hivi ni kweli raisi ni magufuli Tanzania ?? Mana ninayo yaota yanatisha kuusu uongozi wake eti mimeota kala lambilambi za watu wa kagera na anasema amewasamehe watu kwa kuchagua upinzani. I think I am dreaming

Ndoto imegeuka uhalisia...
 
Niliota nasoma ujumbe wako na leo hii nimeusoma so imekuwa very crazy
 
Mara nyingi huwa naota nafanya mtihani wa Kidato cha Sita (PCM).......na ktk ndoto hiyo nakuwa sijajiandaa kabisa....Mara tu naposituka usingizini kumbe ni ndoto.

Hali na ndoto hii vimekuwa vikinipata na kujirudia-rudia kwa miaka Mingi sasa na huwa sielewi kwanini itakuwa hivi....
 
Kama wewe level hiyo ulishavuka ni ishara kuwa ubafanya mambo yaliyopitwa na wakati(kufanya mtihani).
Uwe mbunifu maishani mwako na ondoa hofu.
 
Hayo ni matazizo ya kusoma ktk mazingira yenye kuleta msongo wa mawazo na hofu siku za nyuma yana sababishwa na walimu na familia pia
 
Ukaanza kubondana na ng'ombe hahahahaha
 
Niliota nazini na mke wa Gwajima asee nilitetemeka usiku kucha maana jamaa ana hasira mbaya
 
Huwa naota nipo darasani na marafiki zangu wa primary hii ndoto huwa inajirudia rudia sana sijui kwa nn
 
Huwa naota nipo darasani na marafiki zangu wa primary hii ndoto huwa inajirudia rudia sana sijui kwa nn
aisee kumbe tupo wengi...tena mara nyingine nafanya mitihanimara nipo maeneo ya shule ya msingi si mara moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…